Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,675
- 22,264
Siyo rahisi kiasi hicho labda kama mwenye jengo ni baba yako.Kwa kawaida hiyo kodi hulipwa TRA na mwenye jengo baada ya wewe mpangaji kumlipa kodi yake, but kwa kuwa wenye majengo ni wagumu wewe mpangaji ikate kabisa kwenye mapatano yenu then kailipe tra...
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo rahisi kiasi hicho labda kama mwenye jengo ni baba yako.
TRA ni mamlaka isiwaogope wenye majengo, hata hivyo hoja siyo hiyo soma vizuri post yangu uielewe kisha weka hoja yako.Withholding tax hata haitakiwi kuhojiwa, hiyo ni kodi ambayo wewe uliyemlipa mtu unatakiwa kuishikilia uipeleke TRA, tuwe na utaratibu wa kuwawajibisha wengine tatizo mtu ukienda kukodi nyumba unakuwa kama wewe ndio mwenye shida kuliko mmoliki wa jengo, TRA nayo iwekeze kwenye elimu kwa walipakodi(wananchi)
Ni vipi duka moja linadaiwa kodi moja mara mbili! Kodi hiyo ni ile ya jengo ambalo mwenye duka amepanga ikiitwa WITHHOLDING TAX. Kodi hii kwanza haistahili kulipa na mpangaji kwani haitawezekana mwenye nyumba kumrejeshea mpangaji wake, mfanyabiashara asilipishwe.
TRA ni mamlaka isiwaogope wenye majengo, hata hivyo hoja siyo hiyo soma vizuri post yangu uielewe kisha weka hoja yako.
Nikusaidie tu, kwanini duka moja lilipe WITHHOLDING TAX kwa mamlaka mbili tofauti wakati TRA ndiye muhusika?
Usiwe mvivu kusoma nilichokiandika, ujuaji ni ujinga. Kwako wewe ni sahihi TFDA kutoza WITHHOLDING TAX! Mimi sina tatizo na TRA ,ungeliona hilo kama ungekuwa makini kwenye kusoma, umenitukana mimi sikutukani pamoja na wewe kuwa mzito wa kuelewa. Unajifanya unajua lakini mbona TRA nao wanashangaa kwanini TFDA watoze kodi hiyo!Kwanza unatakiwa kujua sheria haijatungwa kwa ajili yako tuu, tembelea website ya TRA kaangalie types za hizo withholding tax kisha uje kuropoka tena, braza labda mimi nikufundishe biashara na kodi siyo vinginevyo...nchi ilikuwa imeshaenda mrama, kama mlipankodi hukui wajibu wako, wewe ni mlipakodi pia ni agent wa TRA kukusanya kodi yao
Kila mtozwa kodi alipe mwenyewe.Withholding tax hata haitakiwi kuhojiwa, hiyo ni kodi ambayo wewe uliyemlipa mtu unatakiwa kuishikilia uipeleke TRA, tuwe na utaratibu wa kuwawajibisha wengine tatizo mtu ukienda kukodi nyumba unakuwa kama wewe ndio mwenye shida kuliko mmoliki wa jengo, TRA nayo iwekeze kwenye elimu kwa walipakodi(wananchi)
Eti nchi ilikuwa "ishaenda mrama"??? Mmeua biashara kwa ushamba wenu.Kwanza unatakiwa kujua sheria haijatungwa kwa ajili yako tuu, tembelea website ya TRA kaangalie types za hizo withholding tax kisha uje kuropoka tena, braza labda mimi nikufundishe biashara na kodi siyo vinginevyo...nchi ilikuwa imeshaenda mrama, kama mlipankodi hukui wajibu wako, wewe ni mlipakodi pia ni agent wa TRA kukusanya kodi yao
TFDA ni jipu, tangu lini wizara ya afya ikusanye kodi, only in TanzaniaNi vipi duka moja linadaiwa kodi moja mara mbili! Kodi hiyo ni ile ya jengo ambalo mwenye duka amepanga ikiitwa WITHHOLDING TAX. Kodi hii kwanza haistahili kulipa na mpangaji kwani haitawezekana mwenye nyumba kumrejeshea mpangaji wake, mfanyabiashara asilipishwe.