TFDA inadai withholding tax na TRA nayo inadai withholding tax! Duka ni moja!

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
18,387
21,874
Ni vipi duka moja linadaiwa kodi moja mara mbili! Kodi hiyo ni ile ya jengo ambalo mwenye duka amepanga ikiitwa WITHHOLDING TAX. Kodi hii kwanza haistahili kulipa na mpangaji kwani haitawezekana mwenye nyumba kumrejeshea mpangaji wake, mfanyabiashara asilipishwe.
 
Withholding tax hata haitakiwi kuhojiwa, hiyo ni kodi ambayo wewe uliyemlipa mtu unatakiwa kuishikilia uipeleke TRA, tuwe na utaratibu wa kuwawajibisha wengine tatizo mtu ukienda kukodi nyumba unakuwa kama wewe ndio mwenye shida kuliko mmoliki wa jengo, TRA nayo iwekeze kwenye elimu kwa walipakodi(wananchi)
 
TRA ni mamlaka isiwaogope wenye majengo, hata hivyo hoja siyo hiyo soma vizuri post yangu uielewe kisha weka hoja yako.
Nikusaidie tu, kwanini duka moja lilipe WITHHOLDING TAX kwa mamlaka mbili tofauti wakati TRA ndiye muhusika?
 
Mpangaji analipa kwa niaba ya mwenye jengo, ni juu ya wawili hao kupatana malipo ambayo yameitoa hiyo kodi iliyolipwa/itakayolipwa.
Ni vipi duka moja linadaiwa kodi moja mara mbili! Kodi hiyo ni ile ya jengo ambalo mwenye duka amepanga ikiitwa WITHHOLDING TAX. Kodi hii kwanza haistahili kulipa na mpangaji kwani haitawezekana mwenye nyumba kumrejeshea mpangaji wake, mfanyabiashara asilipishwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NIMEGUNDUA WANAJF OF GREAT THINKERS ni wavivu wa kusoma, au wazito wa kuelewa, ninarudia nyie msioelewa KWANINI NILIPE WITHHOLDING TAX KWA MAMLAKA MBILI TOFAUTI KWENYE DUKA MOJA?
 
NIMEGUNDUA WANAJF OF GREAT THINKERS ni wavivu wa kusoma, au wazito wa kuelewa, ninarudia nyie msioelewa KWANINI NILIPE TRA NA TFDA WITHHOLDING TAX KWA MAMLAKA MBILI TOFAUTI KWENYE DUKA MOJA?
 
TRA ni mamlaka isiwaogope wenye majengo, hata hivyo hoja siyo hiyo soma vizuri post yangu uielewe kisha weka hoja yako.
Nikusaidie tu, kwanini duka moja lilipe WITHHOLDING TAX kwa mamlaka mbili tofauti wakati TRA ndiye muhusika?

Kwanza unatakiwa kujua sheria haijatungwa kwa ajili yako tuu, tembelea website ya TRA kaangalie types za hizo withholding tax kisha uje kuropoka tena, braza labda mimi nikufundishe biashara na kodi siyo vinginevyo...nchi ilikuwa imeshaenda mrama, kama mlipankodi hukui wajibu wako, wewe ni mlipakodi pia ni agent wa TRA kukusanya kodi yao
 
TFDA umewachomekea, sio wajibu wao kukusanya WHT, weka kielelezo ambacho kinaonyesha wametaka uwalipe WHT ili tuendelee
 
Somo..... Bah Bwana wewe......
Korosho tumeerudishiwa migunia yetu.
Sasa baba mwenye mji wake atapata wapi hela asipowabambikia utitiri wa kodi?
 
BADO KODI ZA MAKALIO MAKUBWA,WENYE VIPARA,WENYE MATITI MAKUBWA NK MTALIPA TU WADANGANYIKA MAFALA WAKUBWA ,MANENO MENGI ACTION ZERO,IDIOTS,MAJINGA YA DUNIA,MMEMINYWA KIDOGGO TU HATA KONDOMU ZIMEADIMIKA BADO ARV SASA MFE VIZURI NDIYO MJUE MABEBERU NI NOOOMA.
 
Kwanza unatakiwa kujua sheria haijatungwa kwa ajili yako tuu, tembelea website ya TRA kaangalie types za hizo withholding tax kisha uje kuropoka tena, braza labda mimi nikufundishe biashara na kodi siyo vinginevyo...nchi ilikuwa imeshaenda mrama, kama mlipankodi hukui wajibu wako, wewe ni mlipakodi pia ni agent wa TRA kukusanya kodi yao
Usiwe mvivu kusoma nilichokiandika, ujuaji ni ujinga. Kwako wewe ni sahihi TFDA kutoza WITHHOLDING TAX! Mimi sina tatizo na TRA ,ungeliona hilo kama ungekuwa makini kwenye kusoma, umenitukana mimi sikutukani pamoja na wewe kuwa mzito wa kuelewa. Unajifanya unajua lakini mbona TRA nao wanashangaa kwanini TFDA watoze kodi hiyo!
 
Withholding tax hata haitakiwi kuhojiwa, hiyo ni kodi ambayo wewe uliyemlipa mtu unatakiwa kuishikilia uipeleke TRA, tuwe na utaratibu wa kuwawajibisha wengine tatizo mtu ukienda kukodi nyumba unakuwa kama wewe ndio mwenye shida kuliko mmoliki wa jengo, TRA nayo iwekeze kwenye elimu kwa walipakodi(wananchi)
Kila mtozwa kodi alipe mwenyewe.
 
Kwanza unatakiwa kujua sheria haijatungwa kwa ajili yako tuu, tembelea website ya TRA kaangalie types za hizo withholding tax kisha uje kuropoka tena, braza labda mimi nikufundishe biashara na kodi siyo vinginevyo...nchi ilikuwa imeshaenda mrama, kama mlipankodi hukui wajibu wako, wewe ni mlipakodi pia ni agent wa TRA kukusanya kodi yao
Eti nchi ilikuwa "ishaenda mrama"??? Mmeua biashara kwa ushamba wenu.
 
Ni vipi duka moja linadaiwa kodi moja mara mbili! Kodi hiyo ni ile ya jengo ambalo mwenye duka amepanga ikiitwa WITHHOLDING TAX. Kodi hii kwanza haistahili kulipa na mpangaji kwani haitawezekana mwenye nyumba kumrejeshea mpangaji wake, mfanyabiashara asilipishwe.
TFDA ni jipu, tangu lini wizara ya afya ikusanye kodi, only in Tanzania
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom