Text ilitaka kuniua

mungu akubariki sana kwa huo moyo mkunjufu!.
 
Ooohh Sasa nimeelewa... Shukraani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna watu wana uwezo mdg sana hadi unajiuliza ni binadamu ama yaani ujumbe mistari mi 5 eti hawajaelewa na wanaomba ufafanuzi.z.

ujumbe wenyewe uko kwa kiswahili hahaahaha
Hongera wewe fast learner uliyeweza kuelewa at first place. Wengine mpaka tuliporudia kusoma ndio tukaelewa akimaanishacho mtoa mada.
All in all We are sailing in the same boat right now with the thread..
 
Mtakufa vijana na mambo yenu yakujiaminisha kuwa papuchi yako peke yako. Papuchi ambayo unatakiwa amini ni yako peke yako ni ile ambayo umeikuga bikra wakati u aoa vinginevyo kaa ukijua mnavegeda wengi.
Fikra potofu, nshawai toa bikra na kua nae kwenye mahusiano serious had mzaz wangu akawa anamfahamu kumbe kuna wenzangu wa3 wanakula mzigo inshort hawa viumbe hata uishi nao kiakili haisaidii we jua tu sio chako peke ako zamu yako ikifika piga mech kama hamna kesho basi.
 
Duh.. mkuu, kintompyo ni nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…