Text ilitaka kuniua

Naona ni mimi tu ndio sijaelewa hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada akiwa safarini, msg ya mahabuba wake, kipenzi chake, mkewe mtarajiwa inaingia, Na huyo mahabuba inaonekana hiyo text alikuwa anamtumia mwanaume mwingine kuwa 'anaenda ghetto, ila asimlazimishe kufanyaje fanyaje sijui' unluckily ujumbe ukamuendea mtoa mada.!

Mtoa mada, akataka kujitoa uhai ila akakaza kiume ndiyo mpaka Leo tupo naye hapa anatusimulia mkasa wake.!

Khantwe & toughlendon_1
 
Ahsante sana bibie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mambo yenu yakuzungu hayo mnayoyapenda unamlazimisha mwenzako kufanya kitu asichotaka alafu saiz unafeel guilt!
Soma vizuri hujamwelewa....

Si yeye..Yeye alikuwa kwenye gari akiwa Safarini.Hiyo ni sms ilikosewa ikaenda kwake.
 
dah, umefafanua vizur sn..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unavyojua kuelezea sasa, kama wale Penguins wa Madagascar. Wewe inaonekana mtu wa sound sana mtaani 🤣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…