Text ilitaka kuniua

Text ilitaka kuniua

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,463
Siku moja nikiwa nimepata safari ya dharura, nikamuaga binti nilokua nimekamilisha taratbu za kumuoa...

Nikiwa ndani ya gari ikaingia txt ikisema "ntakuja geto lakn usinilazimishe yale mambo yako yakulamba koni hua napata kichefu chefu"

Moyo ulipigwa shot ghafla nikiwa siamini macho yangu... nikamtext akawa na kigugumizi chakujibu, dah! niliumia sana na nikajiona sina thamani kabisa duniani.

Nilitamani kujitoa uhai bt nilipga moyo konde then nikamwambia safari yetu ndo mwisho huo bt kamwe sintoisahau kitu hii
je wewe txt ipi ilokosewa na mwenza ilikutesa sana?
 
siku moja nikiwa nimepata safari ya dharura, nikamuaga binti nilokua nimekamilisha taratbu za kumuoa...

nikiwa ndani ya gari ikaingia txt ikisema "ntakuja geto lakn usinilazimishe yale mambo yako yakulamba koni hua napata kichefu chefu"

moyo ulipigwa shot ghafla nikiwa siamini macho yangu... nikamtext akawa na kigugumizi chakujibu, dah! niliumia sana na nikajiona sina thamani kabisa duniani...
nilitamani kujitoa uhai bt nilipga moyo konde then nikamwambia safari yetu ndo mwisho huo bt kamwe sintoisahau kitu hii
je wewe txt ipi ilokosewa na mwenza ilikutesa sana???
Pole
Kama inakuumiza jaribu kuisahau

Binafsi sionagi umuhimu wa kuhifadhi kumbukumbu za maumivu
 
siku moja nikiwa nimepata safari ya dharura, nikamuaga binti nilokua nimekamilisha taratbu za kumuoa...

nikiwa ndani ya gari ikaingia txt ikisema "ntakuja geto lakn usinilazimishe yale mambo yako yakulamba koni hua napata kichefu chefu"

moyo ulipigwa shot ghafla nikiwa siamini macho yangu... nikamtext akawa na kigugumizi chakujibu, dah! niliumia sana na nikajiona sina thamani kabisa duniani...
nilitamani kujitoa uhai bt nilipga moyo konde then nikamwambia safari yetu ndo mwisho huo bt kamwe sintoisahau kitu hii
je wewe txt ipi ilokosewa na mwenza ilikutesa sana???

Mtakufa vijana na mambo yenu yakujiaminisha kuwa papuchi yako peke yako. Papuchi ambayo unatakiwa amini ni yako peke yako ni ile ambayo umeikuga bikra wakati u aoa vinginevyo kaa ukijua mnavegeda wengi.
 
Daah kuna text moja ya demu fulani nilikuwa naye kwenye mahusiano nakumbuka niliteseka sana kile kipindi kuhusu Yule but kuna siku tukiwa tunachat iliingia text ya huyu demu ikisema hivi÷

"Leo nikija sitaki uniombe nyuma"

daah iliuma sana mzee kipindi hiko Mimi napigwa kalenda tu huku hakidai yeye kibra dah

Unforgetable
Hahahaha. Ulikosea sana. Ungemwambia aje muongee vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom