mkulungu mkuyengo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2015
- 786
- 566
kwahiyo wewe itakua dizain ya mamanzi ambao mdau STUNTER anawavulia kofia,Really??? Wow.!!?can't wait.
Silalagi tho yokuwa natizama the previous
kwamba manzi anaangalia movie ya kikatili kama WRONG TURN mwanzo mwisho bila hata kunywa maji,
tena anashabikia kabisa "chinja kabisa hilo,ua kabisa shenz zake", teh..teh..hatari sana.