DAS=District Administrative OfficerMajukumu ya hiki cheo ni yepi.....naomba kuuliza
Makada wa cccm.Nimeona teuzi hizo kwenye mitandao mbali mbali unaonyesha umefanyika leo. Mwenye orodha kamili atuwekee
Yes ni mshauri wa DCDAS=District Administrative Officer
Anakua mkuu wa utawala wilayani ndio mtendaji mkuu chini ya mkuu wa wilaya
Ndo nini hii?Makada wa cccm.
Hawa hapa
Orodha kamili ya Makatibu Tawala wa Wilaya 27 walioteuliwa pamoja na vituo vyao vya kazi ni kama ifuatavyo
KITUO CHA KAZIJINAARUSHAArumeruTimotheo MzavaGEITANyang’hwaleFabian Yinza SospeterKAGERAKaragweInnocent NsenaMissenyiAbdallah R.MayombaKyerwaGreyson MwenguBiharamuloAgness Rwakayonza AlexLINDILiwaleMbwana R. KambagwaKilwaAgenellus Samwel MwakitaluMANYARAHanangSarah Erasto SangaMbuluPaul Tlatlaa BuraMOROGOROKilosaYohana M. KasitilaKilomberoRobert Francis SelaselaMalinyiLameck Michael LusesaMTWARANanyumbuPalango Salum AbdulMWANZAMisungwiBosco James BugaliMaguMenruf Fortunatus NyoniIlemelaSaid R.KitingaNJOMBEMaketeGrace Huruma MgeniLudewaZaina Mfaume MlawaPWANIKibitiMilongo R.SangaRUKWAKalamboFrank Mastara SichalweSIMIYUMeatuNicodemas Tambo MwikoziItilimaFilbert Kasian KanyilizuBusegaGodwin ChachaSINGIDAIkungiWinfrida Emmanuel FuntoMkalamaElizabeth RwegasiraTABORAKaliuaMichael Simon NyahengaMa-Katibu Tawala wa Wilaya hawa wametakiwa wafike kwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) wakiwa na CV zao pamoja na nakala za vyeti vyao vya kielimu.
DAS=District Administrative Officer
Anakua mkuu wa utawala wilayani ndio mtendaji mkuu chini ya mkuu wa wilaya
Ila kuna vyeo wangefuta ni kuongeza gharama maana kuna DAS,DED,DC kila mmoja hapo ukimuuliza majukumu yako yepi yatakayo ku keep busy katika maasa yako yote ya kazi inaweza kuwa nongwa.DAS=District Administrative Officer
Anakua mkuu wa utawala wilayani ndio mtendaji mkuu chini ya mkuu wa wilaya
Huyo ni afisa tawalaDAS=District Administrative Officer
Anakua mkuu wa utawala wilayani ndio mtendaji mkuu chini ya mkuu wa wilaya
Pia ndio Katibu wa Vikao vya Kamati ya Ulinzi na UsalamaYes ni mshauri wa DC
Hapana kuna DSOPia ndio Katibu wa Vikao vya Kamati ya Ulinzi na Usalama