Teuzi za makatibu tawala wilaya wapya 27

Waziri wa TAMISEMI ameteuwa makada wa CHAMA CHA MAPINDUZI kujaza nafasi mbalimbali za Makatibu Tawala wa Wilaya.

Katika uteuzi huo wote ni makada wa CCM wakiwemo wale waliogombea ktk kura za maoni na kushindwa ndani ya chama au walioshindwa ktk majimbo ambayo wapinzani walishinda.

Mmoja wapo ni kada maarufu mitandaoni ajulikanye kama "KIMETA WA MPUI" ambaye ni mwana JF mwenzetu anayejulikana kama Nicodemas Tambo Mwikozi .

Katika makada wanaoongoza kwa kumporomoshea "kashfa" aliyekuwa mgombea wa UKAWA mitandaoni,basi ni huyu "KIMETA WA MPUI".Naona kazi yake ya mtandaoni imelipa;bado tu mdogo wangu Matukuta Jr ....Kazana kazana huko FB "kusifia" kila kitu,na wewe utakumbukwa.Japo ule "u-team Lowassa" ndio unakutafuna kwa kasi.

Kauli ya Kamaradi Kinana inazidi kupata nguvu.
image.jpeg
 
mimi namfahamu mmoja ambaye ni katibu wa ccm wilaya ya nyasa ,
 
Nimeona teuzi hizo kwenye mitandao mbali mbali unaonyesha umefanyika leo. Mwenye orodha kamili atuwekee
Makada wa cccm.

Hawa hapa

Orodha kamili ya Makatibu Tawala wa Wilaya 27 walioteuliwa pamoja na vituo vyao vya kazi ni kama ifuatavyo

KITUO CHA KAZIJINAARUSHAArumeruTimotheo MzavaGEITANyang’hwaleFabian Yinza SospeterKAGERAKaragweInnocent NsenaMissenyiAbdallah R.MayombaKyerwaGreyson MwenguBiharamuloAgness Rwakayonza AlexLINDILiwaleMbwana R. KambagwaKilwaAgenellus Samwel MwakitaluMANYARAHanangSarah Erasto SangaMbuluPaul Tlatlaa BuraMOROGOROKilosaYohana M. KasitilaKilomberoRobert Francis SelaselaMalinyiLameck Michael LusesaMTWARANanyumbuPalango Salum AbdulMWANZAMisungwiBosco James BugaliMaguMenruf Fortunatus NyoniIlemelaSaid R.KitingaNJOMBEMaketeGrace Huruma MgeniLudewaZaina Mfaume MlawaPWANIKibitiMilongo R.SangaRUKWAKalamboFrank Mastara SichalweSIMIYUMeatuNicodemas Tambo MwikoziItilimaFilbert Kasian KanyilizuBusegaGodwin ChachaSINGIDAIkungiWinfrida Emmanuel FuntoMkalamaElizabeth RwegasiraTABORAKaliuaMichael Simon NyahengaMa-Katibu Tawala wa Wilaya hawa wametakiwa wafike kwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) wakiwa na CV zao pamoja na nakala za vyeti vyao vya kielimu.
 
Ndo mini hii

Ndo nini hii?
 
DAS=District Administrative Officer
Anakua mkuu wa utawala wilayani ndio mtendaji mkuu chini ya mkuu wa wilaya
Ila kuna vyeo wangefuta ni kuongeza gharama maana kuna DAS,DED,DC kila mmoja hapo ukimuuliza majukumu yako yepi yatakayo ku keep busy katika maasa yako yote ya kazi inaweza kuwa nongwa.
 
Acheni kuwakashfu - hawa wote ni wazuri kwa taaluma zao. Hivyo, ni kutokana na uwezo wao kiutendaji ndiyo maana wameteuliwa.

HEKO KWAO
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom