anna bubelwa
Member
- Mar 12, 2013
- 40
- 10
jaman eti kuna tetesi nimezipata kuwa ppra tayar walishafanya oral interview wakat walisema kuwa watatoa taarifa kupitia website ya tume ya ajira.mwenye taarfa yoyote kuhusu hil swala naomba atupe taarifa coz mpaka sasa hamna taarifa yoyote iliyotolewa kwenye hiyo web site ya utumishi.