Mkuu rombo
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,556
- 422
Aiseeee babayangu sijui sugu ameshapanda vip prof na vinega wengine
vinega wamefanya usajili mkubwa sana kiunga dimba la chini lady jd kiungo dimba la juu prof 2naitaji mfungaji sasa nadhani wapo njiani kumnasa ay au niki mbishi