TETESI: Wema A Sepetu amtosa Diamond | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TETESI: Wema A Sepetu amtosa Diamond

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mkasika, May 17, 2011.

 1. Mkasika

  Mkasika JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  [​IMG]

  Ni habari ambazo zimezagaa hapa mjini kuwa ma-super stars hawa wametosana!
  Wenye taharifa kamili tunaomba data.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa kama wametosana mbona kichwa cha habari kinasema mmoja kamtosa mwenzie???!
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  mmmh....kumekucha
   
 4. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Siku nyingine ukitaka UDAKU nenda Globo, utashiba. Hizi habari zimeshapitwa na wakati!

  [​IMG]
  Na Musa Mateja
  2.jpg
  Mastaa wa Kibongo waliowahi kuwa wapenzi na baadaye kutemana, Miss Tanzania 2006/07 anayefanya vyema kwenye tasnia ya filamu, Wema Abraham Sepetu na Charles Gabriel Mbwana ‘Chalz Baba’, wamerejesha rasmi mapenzi yao upya, Risasi Jumamosi linakuwa la kwanza kuibumburua.

  TETESI ZAENEA, RISASI JUMAMOSI LAINGIA MZIGONI

  Mei 7, mwaka huu, rafiki wa karibu wa Chalz Baba aliling’ata sikio gazeti hili kuwa, kuna kitu kinaendelea kati ya wawili hao.
  wemanachalzbaba.jpg Chanzo hicho kilidai kuwa, Chalz Baba amekuwa akipokea meseji kwenye simu yake kutoka kwa Wema akiomba warudiane.

  “Ukiachilia mbali meseji, kuna siku Wema alimpigia simu Chalz Baba nikapokea, akadhani anaongea na jamaa, akaanza kumuomba warudiane,” kilimalizia chanzo hicho na kukabidhi majukumu kwa Risasi Jumamosi.

  Gazeti hili lilizama mzigoni ambapo Mei 11, mwaka huu saa 9:00 usiku, Chalz Baba alinaswa akiwa na mrembo huyo nje ya nyumba ya akina Wema maeneo ya Sinza-Mori, Dar es Salaam.
  Bila kuwashtua ‘shushushu’ wetu aliwafuatilia hatua kwa hatua ambapo walionekana wakiwa wameweka mapozi mazito ya kimahaba huku wakijadili jambo fulani na kulumbana kiaina.

  WEMA AMPA CHALZ BABA WARAKA WA MAPENZI
  Katika harakati za kuachana kwa lengo la kwenda ‘kumbonji’, Wema alimuita Chalz Baba na kumtaka amgeukie.

  Jamaa alipotii alichoombwa, Wema alionekana akimkabidhi zawadi ya kitambaa kilichopambwa na waraka wa maandishi ya kimapenzi ambayo Chalz Baba alisika akiyasoma kwa sauti na kuyafurahia kabla ya kukumbatiana na ‘kudendeka kishkaji’.
  Risasi Jumamosi lilimtafuta Chalz Baba ili kuthibitisha kama kweli amerudiana na Wema ambapo bila hiyana, alifunguka:

  “Siwezi kusema tumerudiana lakini ni kweli tumekuwa na mawasiliano ya karibu sana kwenye simu na kukutana naye mitaani kama marafiki wa kawaida.
  “Unajua huwezi kuachana na mwanamke halafu mkashindwa hata kuwasiliana.”
  Paparazi wetu ‘alipomtaiti’ juu ya kuwepo kwa ushahidi wa mawasiliano yao ya kimapenzi, Chalz Baba alitambaa na mistari:

  “Ni kweli katika siku za hivi karibuni Wema amekuwa akiniomba sana tuonane kwa ajili ya mazungumzo.

  “Siku hiyo baada ya kutoa burudani pale Billz (Bilicanas) nilimfuata Wema nyumbani kwao (Sinza-Mori) kwa kuwa aliniomba sana na sikuwa na ugomvi naye.

  “Tulizungumza ‘fresh’ na baadaye kila mtu akaenda kulala kivyake.

  “Siwezi kukutamkia kwamba sisi ni wapenzi ‘coz’ hatukukubaliana chochote kilichohusu uhusiano wetu wa kimapenzi.

  Juhudi za kumpata Wema ziligonga mwamba lakini zinaendelea, akipatikana atafunguka ‘laivu’ juu ya ishu hiyo na tutawaletea ripoti kamili.
   
 5. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wema nitafute nikutafutie mabuzi!
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Binafsi huyu demu namuona kama hana akili nzuri! Iweje ashindwe kuvumilia hata mwezi baada ya kupigana chini na mwanaume, yaani ina maana hawezi kuvumilia kabisa. Nilisoma dazeti moja la kidaku juu ya habari ya Wema kupigana chini na Diamond kisha wakaweka picha hii hapa chini. View attachment 30157
   
 7. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  usiombe upate pepo la ngono....
   
 8. s

  shosti JF-Expert Member

  #8
  May 17, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hahahahahahah roselyne umemaliza kila kitu...
   
 9. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Wema kakanusha tena kwa Kiswanglish cha ukweli. Ni raha tupu kumsikiliza demu akiongea. Damn! She sounds really sophisticated and soo self-confident!

  ZAMARADI
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,417
  Trophy Points: 280
  litakusumbua sana,but those pepoz go only t o some kinda ov pple
   
 11. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Ukiokiondoa udhaifu wake mwingine ktk kitu nampa big up wema ni njinsi anavyojua kuongea na media,anajipanga,hakurupuki,halopoki,anajua aongee nn na wapi na nani.maoni yangu diamond hafit kwenye viatu vya wema,he is not her type
   
 12. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,975
  Likes Received: 726
  Trophy Points: 280
  Mpaka pepo huyo atakapomtoka sijui kama atakuwa salama.
   
 13. f

  fukunyungu JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 726
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  bado anakua
   
 14. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  Huyu demu ni groupie ile mbaya.
   
 15. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  chalz nae chiz tu
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  nimfano mbaya sana kwenye jamii ya kitanzania..
   
 17. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  Hamna haya ndo mambo ya kisasa!! wakikua wataacha tu.... offcourse kama wataweza kukua!!!
   
 18. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 536
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  ha ha ha ha !!! Hivyo akikua ataacha siyo?
   
 19. e

  ellida New Member

  #19
  May 18, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du kimsingi demu amejichokea na maisha ameaamua kubadili vijana kama nguo
   
 20. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Tumezoea na tulitegemea.
   
Loading...