Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,230
- 6,471
Halo JF international forum.
Waziri wa zamani wa Rwanda Dr Richard Senzibera ametoweka. Dr Senzibera aliyewahi pia kuwa katibu mkuu wa jumuiya ya Africa Mashariki, amepotea machoni mwa watu na uvumi, unasema huenda kauawa au kufariki japo serikali ya Rwanda haikutoa taarifa rasmi.
Hayo yanajiri huku Rais Kagame akiteua waziri mwingine badala yake. Familia ya Dr Senzibera haikupatikana kutoa taarifa sahihi aliko baba wa familia asiyeonekana kwa muda wa miezi kadhaa sasa.