Nashkuru sana mkuu kwa taarifa!!; kwa hiyo mtu kama ana 3 capacity je Atakuwa amesha chaguliwa na je atafanya re-application tena au? MSAADA NAOMBENI!!
wakuu nielekezeni what shalli do coz kwenye profile yangu capacity kote ni zero so ndo nshakosa au?
Omba kozi ya mathematics
Omba KIUhapana nlifanya diploma ya medical lab sciences nataka nifanye degree yake ..
Capacity kuandika 0 Ina maana nafasi zimejaa haijalishi Kama upo Kati ya waliochaguliwa au wasiochaguliwa. Subirieni majina officially
Asa kwanin watu wa diploma wanatengwa sana yaan mpaka form six wajae ndo wapate watu wa diploma
Watu wa diploma hawatengwi ila wengi wao ni wamefaulu kwa kiwango cha chini yaan GPA ya 2.7 had 2.9 sasa itakuwia ngumu kupigania nafasi chache ambazo zinaachiwa ila kama ulifanya vizuri na una GPA ya kwanzia 3 wew chagua tuu chuo huwezi kosa.Asa kwanin watu wa diploma wanatengwa sana yaan mpaka form six wajae ndo wapate watu wa diploma
Watu wa diploma hawatengwi ila wengi wao ni wamefaulu kwa kiwango cha chini yaan GPA ya 2.7 had 2.9 sasa itakuwia ngumu kupigania nafasi chache ambazo zinaachiwa ila kama ulifanya vizuri na una GPA ya kwanzia 3 wew chagua tuu chuo huwezi kosa.