Tetesi: Nikweli inakondesha?

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
36,775
83,959
Naomba nisiwachoshe.

Kumekuwa na habari, maneno au fununu kwamba Mwanaume mwenye uume mkubwa unaweza ukasababisha asinenepe(umamnyonya mwili).

Je hiikitu inaukweli?
Nihayo tu, nawakaribisha tujadili hili.
 
The longer the chain the further u go.The bigger the bank the small house. Wiz khalifa
 
ukisema unakondesha Napata picha kuwa huwa hiyo kitu inatokea ghafla wakati mtu ukiwa bonge tayari.

Ungeweka hivi, huwa inadumaza manake mu unakwanayo!!!:target:
 
Naomba nisiwachoshe.
Kumekuwa na habari, maneno au fununu kwamba Mwanaume mwenye uume mkubwa unaweza ukasababisha asinenepe(umamnyonya mwili).
Je hiikitu inaukweli?
Nihayo tu, nawakaribisha tujadili hili.

Vp wale wanaume wa porn!
 
Aliye tumia terminology ya "kudumaza" nadhani yupo very right nawafahamu jamaa wawili wamejariwa sana ila kiukweli wamedumaa sana.
 
Nothing to say........

mwambie tu ukweli huyu. siku za uwazi hizi. mwambie tu ni kweli vidume vyembamba vingi vinakuwa na nanilii kubwa sana. tena malizia akiteua box ana uhakika litamaliza njaa hakuna pa kukimbilia.... ukweli? uwongo!? ha ha ha ha....
 
makubwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom