Tetesi:mji kurindima na mabomu mchana huu

Tetesi:mji kurindima na mabomu mchana huu

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,891
Habari zilizotufikia pund e madereva wote wanàndamana muda si mrefu kwenda ikulu wakishinikiza wapewe wilaya ya temeke!!baada ya kinondoni kupewa makonda
polisi wameomba wasifanye hivyo kamawatalazimisha watalipua mabomu
muwemakini mliokaribu na mjini
 
Yes. Makonda to be dc is an interesting comedy ever! It started with mwigulunet. Bogus president
 
hahahahahahah jamani wewe mtoa mada mbona unaturusha roho bure ndugu yetu
makonda au makodakta ndo waliopewa mkoa wa kinondoni
 
Nawaunga mkono madereva, haiwezekani makonda kupewa kinondoni wakati anayeendesha gari yaani dereva ang'ae sharubu, kama vipi kinuke tu, temeke wapewe madereva huo utakuwa mwisho wa majigambo ya makonda. Kwani makonda kutulia inashindikana nini, mbona kejeli mtindo mmoja, kama sivyo kinondoni isiwe ya makonda, kama mbwai mbwai!!!!!!!!
 
yaani siku hizi maandamano ya kuelekea ikulu ni kama vile wanafunzi kwenda shule.
 
Back
Top Bottom