[/h][h=5]Kuna habari inayovuma kua kuna wimbi kubwa la ubakaji kwenye kambi za(ya) mafunzo za(ya) JKT kwa wnafunzi waliohitimu KIDATO
CHA SITA wanaojiunga kwenye kambi hizo kwa visingizio vya KUWAFUNZA UZALENDO..
Habari hii sasa sio siri tena na mbinu wanayotumia hawa wanaotoa mafunzi kwa dada zetu ni kua;asubuhi wakati bado kuna kiza kinene wanawapeleka watu kwenye mashamba ya kambini na wanawapangia maeneo kwa umbali mkubwa sana kutoka kwa mwingine,baada ya hapo watoto wakike hubakwa na kutishwa endapo watapiga kelele..
Kuna Mwanafunzi anaedaiwa kufariki Tabora baada ya kuzidiwa na mazoezi ya Jeshi, Halima Kitangilwa (20) amezikwa leo Dar,Lakini Baba yake amesema amedanganywa kuhusu chanzo cha kifo lakini ndugu zake waliokuwepo jeshini wamemwambia ukweli(Kua alibakwa hali iliyomsababishia maumivu hadi kufa), analaumu pia hajapewa ripoti ya uchunguzi wa mwili.
Hizi ni propaganda na uzushi unaoenezwa na watu ambao hawataki haya mafunzo na wengine kwa sababu tu kuwa wao kila kitu huwa wanakichukulia in a negative way,,nina mdogo wangu amemaliza mafunzo huko,nilimhoji sana hizi habari za kubakwa, kwanza anasema hakuna kubakana,na anasema sana sana vitendo vya ngono ambavyo ni maridhiano ni kati ya kuruta wenyewe,lakini kwa wakufunzi hakuwahi kuona licha ya kuwa watoto wa kike saa zingine kwa kupenda mteremko huwa wanajitongezesha kwa wanafunzi.Dogo anasema vitendo vya ngono vinakatazwa na kuna utaratibu wa kuripoti unaomlinda victim incase ametendewa hivyo.Jamani hii nchi ni yetu sote,,si vzr kusingizia tuhuma,,tuzikabili changamoto zilizopo mbele yetu kwa uhalisia na sio kusema uongo.Mungu ibariki Tanzania.
Ndugu zangu, najua siyo utaratibu kuleta mjadala hapa kwa msingi wa habari zilizopo facebook. Nakubali kabisa kwamba JF si ya viwango vya facebook. Lakini nimeiona hii habari facebook, na kwa kuwa nina binti yangu yupo kambi ya JKT Tabora, pressure imenipanda na nimekosa amani kabisa.
Hebu wenye uzoefu na mambo ya huko watuambie ukweli upoje.
Habari yenyewe ni kama ifuatavyo:
[/FONT][/COLOR][/COLOR][/h]
MY TAKE: Tusijekuwa tumepeleka watoto wetu jeshini kwa kisingizio cha kuwafunza uzalendo, halafu mwisho wa siku wakarudi na HIV, na hasira kali dhidi ya nchi yao. Kama hili lina ukweli basi hii ni hali ya hatari sana kwa watoto wetu. Tunaweza kujikuta miaka mtano ijayo, 80% ya graduates wa vyuo vikuu ni wagonjwa wa UKIMWI. Ikumbukwe kwamba waliokwenda JKT ni wenye division one hadi three. Kwa maana ya kwamba ni cream ya nchi ndiyo imekwenda huko. Tutabaki na mamburula nchi hii, if this is true.
majeshi yako kwa sasa juu ya sheria.
nashukuru sana mkuu. Angalau unanifanya nipate amani sasa. Maana kwenye mijadala inayoendelea huko, ni kama vile watoto wa kike wanalazimishwa kwa nguvu. Jambo ambalo kwa kweli linaogopesha. Lakini kama wanakubaliana, ni dhahiri kwamba hata asingeenda JKT bado angeweza kukubaliana na mwingine mahali pengine.Hizi ni propaganda na uzushi unaoenezwa na watu ambao hawataki haya mafunzo na wengine kwa sababu tu kuwa wao kila kitu huwa wanakichukulia in a negative way,,nina mdogo wangu amemaliza mafunzo huko,nilimhoji sana hizi habari za kubakwa, kwanza anasema hakuna kubakana,na anasema sana sana vitendo vya ngono ambavyo ni maridhiano ni kati ya kuruta wenyewe,lakini kwa wakufunzi hakuwahi kuona licha ya kuwa watoto wa kike saa zingine kwa kupenda mteremko huwa wanajitongezesha kwa wanafunzi.Dogo anasema vitendo vya ngono vinakatazwa na kuna utaratibu wa kuripoti unaomlinda victim incase ametendewa hivyo.Jamani hii nchi ni yetu sote,,si vzr kusingizia tuhuma,,tuzikabili changamoto zilizopo mbele yetu kwa uhalisia na sio kusema uongo.Mungu ibariki Tanzania.
Asante sana ndugu yangu. Nikiwa kama baba, nina wivu mbaya sana kwa binti yangu kubakwa! Lakini mkada amenitia moyo kidogo japo uchwara ameongeza kunitisha. Anyway, sina namna kwa sasa, maana tayari mtoto yupo kule. Nasubiria maumivu tu kama kweli hilo lipo.Pole sana ndugu yangu Lukolo ambaye una binti huko, cha muhimu ni kuomba Mungu atulindie watoto wetu hawa maana hali kama ni ukweli basi ni hatari.
Mkuu uchwara wewe ni uchwara kama lilivyo jina lako,,tuwe wa kweli ndugu,,,tusinene uongo wa kusingizia,,,ukute huna hata motto huku jkt matokeo yake una amua kueneza panic,,,shame on you.Nilikuwa JKT miaka ya 80 kambi fulani.Naambiwa maafande asilimia 80 walikufa kwa ukimwi.
Wengi walikuwa std 7 ,so uilikuwa ufahari huyu afande kupata msichana wa form 6.
Mzazi serious usipeleke mtoto wako JKT wa kike
Haya mambo yapo na yanafanyika lakini sio kwamba wanabakwa ila kuna kulazimisha hivi akikataa anakiona kilichomtoa kanga manyoya hivyo mabinti wengi huwa na hofu na kuwakubalia wakufunzi ila kuepuka adhabu ngumu maana akikataa ni noma