Jk hana cha kuwashangaa mwanza, yeye ni mwanasiasa na anakumbuka sana 1970 pale walipompiga chini the late paul bomani, nyerere aliwagundua fitina yao na akawaonyesha jeuri kwa kumpa ubunge na kumrejesha barazani au amuige mwinyi 90 hapohapo mwanza baada pascal mabiti kumbwaga mzee huyohuyo! Kimsingi bado naamini jk na tz still need lawrence ktk harakati za umma. Pliiz mzee kikwete mrejeshe kijana, namkubali baada ya kukubali makosa ktk advert yake ya 2010 ubunge runingani, ule ndio ujasiri tunaopaswa