kuna mtu amenipa taarifa kuwa kanisa la moja Anglican huko Unguja limechomwa mchana huu. Anayeweza kupata maelezo zaidi atujulishe.
hivi ndo mnavo fundishwa kanisani kuzua uongo na uongo then uandikwe na kundikwa lendo kufanya dhulma
vurugu za zanzibar zimesababishwa na kutekwa nyara na dola...KWA KIONGOZI WA UISLAM fARID hADI
wanajaribu kukanusha lakini ni wao...
tuchukue mfano kadinali pengo atekwe nyara na dola hali itakuwa vipi hapa?
acheni dhulma nchii hii yetu sote, kila mmoja ana haki sawa na mwenzake
hakuna aliye bora kuliko mwenzake wakati wa kujiona kwamba sie tupo bora umepita
keemeni dhula nchi itakaa salama lakini kinyume chake yanayotokea lebanon, nigeria na kwengineko si ajabu yakatokea hapa
inakuwaje mtu anakojolea quran....makanisa na wafuasi wao hakuna anaejali wala kukemea? BALI WANAFURAHIA ?
yalipo chomwa makanisa masheikh walikemea na kulaani...
inaonekana hali hii inapendelewa na kuchochewa
juzi kuna mtoto ana soma school ya katoliki forodhani alikua likizo ni jirani alakuja nyumbani basi alikua akimweleza mtoto wangu kuwa wanaambiwa wasipake perfum fulani kwa sababu imeendikwa kiarabu !!! ati ina majini!!! HUYU YUPO FORM 6 NI MKUBWA KIUMRI.
yule mtoto wangu akamwambia waongo...basi huyo mtoto anasema mambo mengi tunayoambiwa kuhusu uislam ni uongo ..tunafundishwa mambo mengi ya uongo lakini mie naona tofauti na tabia nzuri za majirani zangu ambao ni waislam
kuna propaganda chafu na brain wash katika SCHOOL ZA CHEKECHEA NA PRIMARY AMBAPO WATOTO HULETEWA CHOKLATE NA KUAMBIWA ZINATOKA KWA YESU NA PIA HULETEWA KITU KIBOVU AMA CHAKULA KILICHOOZA NA KUAMBIWA AMELETA MUHAAMAD WA WAISLAM...HIII NDIO HALI HALISI ..NA NDIO KWA WALE WASIOFIKIRI HUYACHUKULIA NI KWELI...
LAKINI CHA KUFURAHISHA HUYU MTOTO JIRANI AMENIOMBA NIMNUNULIE QURAAN NA TAFSIRI YAKE NA VITABU KUHUSU UISLAM....BAADA KUONA ANADANGANYWA
ALIKUA ANAHOJI INAKUWAJE MASISTA WANAVAA HIJAB ? LAKINI WAISLAM WANAPOVAA WANAKEJELIWA ? AKAULIZA MBONA WALE MAPADRE WANAVAA KANZU KAMA WAISLAM ? LAKINI WAISLAM WAKIVAA WANAKEJELIWA ?
NAAMINI MWANGA WA UKWELI ATAUONA BILA YA KUSHAWISHIWA...
SASA WEWE NI KATIKA HAO WAONGO WALO FUNDISHWA NA KANISA HIVYO MATUNDA YAKE NI CHUKI KATI YA WANA DINI HIZI
NA SIDHANI KAMA KUNA KUELEWANA AMA KUAMINIANA TENA KATIKA NCHI HII
MPAKA WANAODHULUMU WAKUBALI KWELI TUMEDHULUMU....