Tetesi: Huenda pesa ya chakula na malazi Elimu ya Juu ikaongezeka kutoka 7500 -8500//=tsh

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Ukisoma mwongozo mpya uliotolewa Leo na bodi ya mikopo kwa wale wanaopaswa kutuma maombi ya mikopo kwa elimu ya juu na wale wa diploma maalum wameandika kuwa watatoa Tsh 8500//= kwa siku kama pesa ya chakula na malazi kama siyo typing error. pamoja na hayo bado serikali haijafanya fair kwani maisha yamepanda gharama ukilinginisha na pesa ndogo inayotolewa kwa sasa
 
Back
Top Bottom