Tetesi hizi: Ester Bulaya yupo wapi?

Tetesi hizi: Ester Bulaya yupo wapi?

Amekuwaje!
Ndio huyo aliyejiunga CCM?
Lakini sisi Watanzania mbona ni wanafiki sana! Huyu Dada tuliamini ni mpigaji na akatuamisha hivyo, kwa nini baada ya Bunge kuvunjwa na Ubunge wake kukoma , hakuamua tu kukaa kimya kama mwenzake Halima Mdee, maana ni njaa tu ndio ziliwanya wawe Wabunge wa viti maaluma. Lakini yeye akaamua kuwasaliti Watanzania na kwenda kwa Wauaji CCM, sasa tumwelewe vipi , au atawaambia nini Watanzania tena.

Nchi ipo kwenye hali tete , yeye anasikiluzia tu, hakuna hata kutoa neno moja, hata wafe Watanzania wote wala hawajali,

Hivi Viongozi wa Nchi hii wapo wapi, ? Ni kwamba kiongozi Nchi hii ni Samia tu? Hii Nchi haina Uongozi wa Pamoja, yaani kila kitu ni Samia, Ina maana kila linaloendelea hivi mpaka tulipofika ni yeye tu Samia ndio alikuwa Kiongozi, nasikia ana washauri wake, akina Lukuvi, Bulembo, na Kabudi, hawa watu 3 wana akili za kuwatosha kweli, hawa kazi yao ilikuwa ni nini kumshauri Samia kuhusu uolekeo wa nchi, . Mauaji yanatokea, Watu wanapotea, Katiba inaitwa Kakijitabu tu, Kabudi yupo kimya. Lukuvi yupo kimya, kwa nini hata wasijiuzulu kama kweli walikuwa ni washauri wa Samia,

Samia anasema wasaidizi wake wale kwa urefu wa kamba zao, yaani anawaruhusu wasaidizi wake kuiba, wenyewe wapo kimya tu.

Hivi Watanzania ndipo tulipofikishwa hapa, yaani nchi mpaka inakuwa genge la waporaji tu.

Katiba haifuatwi tena kwa sababu ni kakijitabu tu, Washauri wapo kimya.

Huyu kabudi fani yake si ndio Professor wa Katiba, au?

Ama kweli hii nchi kwa miaka 5 ilikuwa chini ya uongozi wa Mungu, tushukuru sana kwa hilo, Mungu anawapenda Watanzania.

Hata sasa hivi Watu wapo mitaani, ni kwamba Mungu anatupenda, hakuna kiongozi yeyote wa Ccm aliyesimama na kutoa neno, wapo kimya tu, mpaka Samia atoke huko alipo aseme, sijui hata aseme kitu gani,

Ndugu zangu , pamoja kwamba uongozi ni kipaji, lakini wakati mwingine kiongozi anahitaji wasaidizi wazuri, ukukosea kuchagua wasaidizi , umekwisha , unabaki uchi,. Huyu Mama hakuwa na Wasaidizi, siku akitulia akili zikae sawa , akarudisha mkanda nyumba, ataaona nini kilichokuwa kinafanyika nyuma ya wasaizi wake. Na hapa nazungumzia hawa wazee watatu(KABUDI, LUKUVI, BULEMBO) hawa ni watu wabaya sana,

Nimewatambulisha kama wasaidizi ingawa ni washauri, wasaidizi halisi tunawafahamu , ni ndio ndio tu, hawana lolote.

Ngoja niishie hapo, Mungu atusaidie atuvushe salama,

Tuombe Mungu hali iendelee hivi mpaka nchi irudi kwa Watanzania.

Maana mpaka sasa hivi waliopo mtaani ni Watanzania, sio Waislam na Wakristo,

Shetani akiingia hapo kati Kukuwa na kumtetea Mama kwa sababu ya Uislam wake , kama walivoanza kumtetea, basi kama nchi tumekwisha, hakuta kuwa na Tanzania tena.

Tena maamuzi yatoke sasa hivi wakati bado watu hawajakumbuka Uislam wao, ni hili ni seriously, sasa hivi Nchi irudi kwa Watanzania kabla hatujaingia kwenye ugomvi wa kidini.
 
Wajuzi wa mambo , naomba mnisaidie kunielewesha namna ya kupost thread, nimejaribu sana kuangalia namna ya kupost nashindwa, maana mimi naingia kkusoma kwa kupitia google, naandika jamii forum kwenye goggle, ikija tu basi ndio hapo naanza kusoma, kupost nashindwa
 
Tukishakomboa nchi tutakufundisha usijali...Kwa sasa fuatilia nyuzi za watu wengine tu.
 
Kama atakuwa ametembelewa, hiyo itakuwa nzuri sana
 
Wajuzi wa mambo , naomba mnisaidie kunielewesha namna ya kupost thread, nimejaribu sana kuangalia namna ya kupost nashindwa, maana mimi naingia kkusoma kwa kupitia google, naandika jamii forum kwenye goggle, ikija tu basi ndio hapo naanza kusoma, kupost nashindwa
Unatumia pc?
 
Kama uliweza kujiunga na JF, utashindwa vipi kupost thread?
 
Sioni sehemu ya kupostia, ila nimepewa link, naingia Jamii forum kupitia gooole, hata hivyo nimeomba msaada, naona tena wewe unaniuliza
 
Back
Top Bottom