Tetesi: Dr Wilbrod Peter Slaa Kupeperusha Bendera Ya UKAWA!

Tetesi: Dr Wilbrod Peter Slaa Kupeperusha Bendera Ya UKAWA!

Status
Not open for further replies.
Katiba gani imetumika kumchagua?
 
Habari zisizo rasmi zinadai kwamba hatimaye UKAWA wameafikiana kumsimamisha Dr Wilbrod Peter Slaa kuwa mgombea wao wa kiti cha urais kwaajili ya uchaguzi mkuu ujao mwezi October.
Source: Millard Ayo blog
tunatarajia hivyo
 
Hiyo ndo habari kui gazeti la Mtanzania la leo. Nunua utaona.
 
Habari zisizo rasmi zinadai kwamba hatimaye UKAWA wameafikiana kumsimamisha Dr Wilbrod Peter Slaa kuwa mgombea wao wa kiti cha urais kwaajili ya uchaguzi mkuu ujao mwezi October.
Source: Millard Ayo blog

Ulitegemea lipi!! Hawa no miungu MTU hakuna cha fomu wala nn
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom