Kuna mtu mmoja aliniambia bakhresa amefungua viwanda viwili Uganda. Kuna tetesi anataka kuhamia uganda!! Yanaukweli haya au??
Je tanzania tunaonaje kuwalinda wafanyabiashara wa ndani wasitoke...je nchi zingine zinafanyeje kuhusu kuwalinda wafanyabiashara wa ndani!!
CRDB nao wamefungua branch Burundi na Hong kong. Mohamed Dewji ne anafanya biashara mpaka ethiopia, msumbiji. Wanajitanua tu kibiashara kitu ambacho ni kizuri na cha kujivunia kama watanzania
ni tetesi inawezekana hazina ukweli wowote ndani yakeKuna mtu mmoja aliniambia bakhresa amefungua viwanda viwili Uganda. Kuna tetesi anataka kuhamia uganda!! Yanaukweli haya au??
Je tanzania tunaonaje kuwalinda wafanyabiashara wa ndani wasitoke...je nchi zingine zinafanyeje kuhusu kuwalinda wafanyabiashara wa ndani!!
Mtanzania yupi, Bhakresa, ni mtanzania au Mgeni mtanzaniaCRDB nao wamefungua branch Burundi na Hong kong. Mohamed Dewji ne anafanya biashara mpaka ethiopia, msumbiji. Wanajitanua tu kibiashara kitu ambacho ni kizuri na cha kujivunia kama watanzania
Mtanzania yupi, Bhakresa, ni mtanzania au Mgeni mtanzania
Mgeni Mtanzania, I mean! Civics sina haja nayo!Mgeni Mtanzania ndo mtu gani. Kafungue madaftari yako ya CIVICS ya form two usome kuhusu Uraia
Chuki ndani ya moyo.. Na wala huna ushahidi zaidi ya kukariri tu mambo.Ahamie tu, Tanzania ya leo hatutaki wafanya biashara wakwepa kodi. Ni bora tubakie na wafanya biashara wakubwa wachache kuliko kuwa na wafanya biashara wasioitakia nchi mema. Kwa utajiri alionao na makontena yaluyopitishwa bila kulipiwa kodi kupitia ICD zake ingekuwa China angefilisiwa.