Siku moja kabla Hillary Clinton hajatua Tanzania tetemeko lilitokea na kuleta taharuki kubwa jijini Dar es salaam.Kitu kama hicho kimetokea kule Eritrea mpakani na Ethiopia mara baada ya kufika kwake.Tetemeko lilisababisha mlima ambao haujapatapo kuripuka kutema cheche na matope angani 13.5km kutokana na hasira.
Hali hii imepelekea yule mama kuogopa na kukatisha ziara yake ghafla.
Obama naye alipokwenda Scotland mwezi uliopita yalimtokezea kama hayo.
Sisi wenye imani tunajua hapo kuna ujumbe kwa wenye akili.
Kiimani yawezakuwa ni ishara au ujumbe. Kisayansi ni hali ya hewa na matukio ya kijiografia.
Sio IMANI wala HALI YA HEWA ni mambo ya mitikisiko inayotokea ndani ya dunia.ni hali ya hewa, usiwe na imani mbovu mbovu ila asante kwa taarifa.
Imani?...
Sisi wenye imani tunajua hapo kuna ujumbe kwa wenye akili.
Kweli kabisa dada hii inaweza kuwa ishara kubwa na ujumbe ndani yake...amen mpendwa
nilipanga mungua kinijaalia nipate kuomba wasaha kidogo niongee na mwakasege nini maana ya matukio haya kiroho zaidi...
ni ujumbe...lakin wanadamu weng ambao wanajitia wamesoma saaaaaaaaaaana na kuijua sayans vyema wataichukulia poa ishara i/izi..
wamesahau njia za mwenyez mungu katika kuzungumza na ishara zake
shetan katufunga sana ata ishara za nje nje si twasema sayans..
to me yes ni ishara tena kubwa tu....
lakin ashasema ...WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA...here we go...
Ami, hii ya kupatwa kwa mwezi leo inaashiria ujumbe gani kutoka kwa M'nyaazi Mungu?Siku moja kabla Hillary Clinton hajatua Tanzania tetemeko lilitokea na kuleta taharuki kubwa jijini Dar es salaam.Kitu kama hicho kimetokea kule Eritrea mpakani na Ethiopia mara baada ya kufika kwake.Tetemeko lilisababisha mlima ambao haujapatapo kuripuka kutema cheche na matope angani 13.5km kutokana na hasira.
Hali hii imepelekea yule mama kuogopa na kukatisha ziara yake ghafla.
Obama naye alipokwenda Scotland mwezi uliopita yalimtokezea kama hayo.
Sisi wenye imani tunajua hapo kuna ujumbe kwa wenye akili.
Ami, hii ya kupatwa kwa mwezi leo inaashiria ujumbe gani kutoka kwa M'nyaazi Mungu?
Lucky you ambaye umeshuhudia kupatwa kwa mwezi. Wengine tumesikia tu!!
Askari umeuliza suala zuri ambalo mimi nalifanyia kazi na nina maarifa zaidi kuhusiana nalo.Ami, hii ya kupatwa kwa mwezi leo inaashiria ujumbe gani kutoka kwa M'nyaazi Mungu?
Sawa Mkuu, jibu lako nimelisoma na nadhani nimekuelewa!Askari umeuliza suala zuri ambalo mimi nalifanyia kazi na nina maarifa zaidi kuhusiana nalo.
Hivi ninavyoandika ndio kwanza nimetoka msikitini kuswali suna ya kupatwa kwa mwezi.Waislamu walio wengi tuliokwenda pamoja naamini wamefuata maelekezo ya Mtume s.a.w bila kuhoji na bila kujua undani wake.Ndivyo wanavyopaswa kufanya kwani kila maelekezo ya mjumbe wa Mungu huwa ni kheri kubwa kwao.
Kupatwa kwa mwezi ni ishara ya wazi kutoka kwa Mwenyezi Mungu juu ya kuwepo kiama na jinsi kinavyoweza kuanza.
Ilivyo hasa ni kuwa mwezi unapopatwa dunia na jua huchangia nguvu kuuvuta mwezi,hivyo tunaposwali ni wajibu kumuomba Mungu aupitishe mwezi kwenye njia yake kwa amani na kama kawaida kwa sababu pindi akiachia kidogo tu basi mwezi unaweza ukavutika na kusababisha balaa kubwa kama si kiama chenyewe.Hali ya hewa inaweza ikatibuka vibaya.
Mwezi katika muda huu unakuwa na nguvu kubwa ya kuyavuta maji ya bahari upande wake ndiio maana ukiteremka pwani utaogopa kwa jinsi maji yanavyopanda juu.
Sisi binadamu ndio wengine tunapuuza na kuona ni sayansi tu lakini wanyama na wadudu siku mwezi na jua vikipatwa huogopa sana,wengine hulizana na wengine kupiga kimya kisichokawaida yao.
Hata dada yangu Ashadii namshauri siku kama hizi asitoe umuhimu wa kupiga picha za kamera,bora kuswali kwanza.Hizo picha mambo yakitibuka wala hakutokuwa na wa kumuonesha.