Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,143
HorohoroHata mie nimehisi kama Kiti nilichokalia kinatingishika - Niko Holoholo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wasambaa hawajui huyo Richter scale ni kitu ganini la kipimo cha Richter scale ngapi mkuu?
ngoja nikamuulize balozi Mshangama😁ni la kipimo cha Richter scale ngapi mkuu?
Mzahumua zege na ijo tetemeko?
mzahumua ni salam kam sikoseiMzahumua zege na ijo tetemeko?
Hivyo yule babu wa loliondo alizungumza ukweli🙄 si kalisema kutakuwa na matetemeko na yamekuwa duh! Naanza kumuangalia kwa jicho pevu!
Tuwaheshimu watumishi wa MunguHivyo yule babu wa loliondo alizungumza ukwelisi kalisema kutakuwa na matetemeko na yamekuwa duh! Naanza kumuangalia kwa jicho pevu!