Mbulu, Manyara: Limepita tetemeko la kutosha

KISS 100

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
524
1,097
Salamu, nilikua nimelala nikajikuta nipo macho na nyumba inavibrate kama simu.

Nikashikwa na mshangao mkubwa nikajua uchawi au marue rue. Hapa Karatu limepita Usikuu huu saa Kumi na moja kasoro.

Nilitaka kukimbia nje ila nikawa nashangaa. Maeneo mengine mmelisikia hili tetemeko?
Screenshot_20240120_054536_Google.jpg
 
Salamu, nilikua nimelala nikajikuta nipo macho na nyumba inavibrate kama simu.

Nikashikwa na mshangao mkubwa nikajua uchawi au marue rue. Hapa Karatu limepita Usikuu huu saa Kumi na moja kasoro.

Nilitaka kukimbia nje ila nikawa nashangaa. Maeneo mengine mmelisikia hili tetemeko?
View attachment 2876976
Nimekuombea utakuwa salama nimetoka kwenye mkesha kanisani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom