figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,201
- 64,681
Maeneo ya Geita nyumba zimetetema. Hapa Masumbwe ndo kila mtu ilikuwa kutafutana.
Sijajua kama tetemeko limelta madhara
Sijajua kama tetemeko limelta madhara
El Nino hio!Maeneo ya Geita nyumba zimetetema. Hapa Masumbwe ndo kila mtu ilikuwa kutafutana.
Sijajua kama tetemeko limelta madhara
ni mamlaka ya hali ya hewa au ya udongo na miamba?Ngoja tusubiri taarifa kutoka Kwa Mamlaka..
Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania ambayo ipo Wizara ya Madini. Ndo wamahusika na mambo ya kutetemani mamlaka ya hali ya hewa au ya udongo na miamba?
Leo tena saa 01:07Maeneo ya Geita nyumba zimetetema. Hapa Masumbwe ndo kila mtu ilikuwa kutafutana.
Sijajua kama tetemeko limelta madhara
Haya matetemeko yataondoka na roho ya SamiaLeo tena saa 01:07
Labda machimbo madogo huko ngula na nyakagwe ila kwa mzungu hakuna nomaSasa vp wale waliyoko chini mgodini ???
Ova