Tetemeko (la ardhi) latokea Dar

Tetemeko (la ardhi) latokea Dar

Naona limetokea baharini, chukueni tahadhari na Tsunami.
 
Naaam hata hapa Police Oysterbay pamepitiwa na hilo tetemo ila halikuwa na madhara zaidi ya vikombe kugongana. Michicha yaetu ipo salama.
Hivi kumbe wewe afande? mbona uko kimya wakiwatukana humu kwenye posts? nimejikuta mtetezi peke yangu!
 
nilikuwa mjengoni gorofa ya 5 nikaona kama gorofa linabembea pale nyuma ya jengo la ushirika mnazi mmoja nikasikia kishindo kwa mbali kama bomu limelipuka kwa mbali jamaa akaniambia tetemeko hilo sikuamini
 
Ilinkuta nikiwa gorofani. Ghafla nkashangaa kuta zinaanza kuvibrate. Samahanini wakuu naomba kuuliza nini ilikua sababu ya tetemeko hili.
 
Kama kawaida dar tambarare hatuambiwi na hatutaambiwa.

Hiyo imetoka
Ha ha ha
Hizi ni habari za kiintellijensia wewe, kulihisi tetemeko hi makosa.
Nilitaka kuingi jengo moja refu mtaa wa Samora na nikakuta hata wale wamama wanene na wenye vitambi na suti zao, wakishuka ngazi kwa kasi ya ajabu-ngazi mbili mbili.
Polisi na Ultimate security wakiranda randa na vin'gora barabarani-about saa 5.45 asbh.
 
miaka ya nyuma nilifanya kazi Rukwa,mitetemo ya aina hii ni ya kawaida kabisa ila kwa hapa Dar leo ndio nimeihisi..
 
[h=1]Last Earthquake in ...[/h][h=3]Preliminary Earthquake Report[/h][h=2]Magnitude 4.8 TANZANIA
Friday, June 10, 2011 at 08:28:13 UTC[/h][TABLE="class: yiv1773942726tabular"]
[TR]
Magnitude[TD="bgcolor: #EEEEEE"]4.8[/TD]
[/TR]
[TR]
Date-Time[TD="bgcolor: #EEEEEE"]Friday, June 10, 2011 at 08:28:13 (UTC) - Coordinated Universal Time
Friday, June 10, 2011 at 11:28:13 AM - Local Time at Epicenter
Time of Earthquake in other Time Zones[/TD]
[/TR]
[TR]
Location[TD="bgcolor: #EEEEEE"]7.08S 39.63E[/TD]
[/TR]
[TR]
Depth[TD="bgcolor: #EEEEEE"]10.0 kilometers[/TD]
[/TR]
[TR]
Region[TD="bgcolor: #EEEEEE"]TANZANIA[/TD]
[/TR]
[TR]
Distances[TD="bgcolor: #EEEEEE"]52 km (32 miles) ESE of DAR ES SALAAM, Tanzania
105 km (65 miles) SSE of Zanzibar, Tanzania
230 km (142 miles) SSE of Tanga, Tanzania
713 km (443 miles) SSE of NAIROBI, Kenya
[/TD]
[/TR]
[TR]
Location Uncertainty[TD="bgcolor: #EEEEEE"]Error estimate not available[/TD]
[/TR]
[TR]
Parameters[TD="bgcolor: #EEEEEE"]Nst=0, Nph=0, Dmin=0 km, Rmss=0 sec, Gp=0 degrees[/TD]
[/TR]
[TR]
Source[TD="bgcolor: #EEEEEE"]USGS NEIC (WDCS-D)[/TD]
[/TR]
[TR]
Event ID[TD="bgcolor: #EEEEEE"]usc000440z[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
world_tanzania_loc.gif

world_tanzania.jpg

world_tanzania_s.jpg
 
mzee wetu syahya hakuacha mrithi wa mikoba yake?
tungejuzwa mapema!
 
Banae musijidanganye. Hila si tetemeko jambo. 4.8? Ndio nini? Huo si ni mtetemeko wa kupita kwa lori tu? Ili tetemeko liweze kuleta athari ni budi lifike 5.8 richer scale. Na usifikiri kutoka 4.8 hadi 5.8 ni tofauti ya point moja tu kame hesabu no hilo ni gap kubwa sana.

Wacheni kujitangaza nyie mbona matetemeko madogo yanatokea kila siku. Si ajabu banaa.
 
I see, ndo maana hapa kwenye kiti changu nimehisi kurushwarushwa kama mara mbili hivi, ila sikujua ni nini?
mkuu na mm nimepatwa na ishu hyo mpka oga ukaniingia ckujua nn chakufanya ilikuwa kmya kmya
 
dalili ya mvua ni mawingu na
dalili ya mabovu ni tetemeko
 
hivi ni kweli kwamba sehemu zote zenye madhambi
ndo tetemeko linatokea?, china, japani nk, na hapa tz mkoa
unaoongoza kwa madhambi ni darasa salama?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom