Babuu blessed
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 1,362
- 491
du we mbishi bali inaonekana unauzoefu na hayo makitu wala ukustuka.vipi unahshi gongo la mboto nini?I see, ndo maana hapa kwenye kiti changu nimehisi kurushwarushwa kama mara mbili hivi, ila sikujua ni nini?
Wataalamu? Bongo?Yeah, hata mimi nimelisikia! Tusubiri wataalamu watupe yaliyojiri
Jee ni kweli mliopo katikati ya jiji Dar?
sio tetemeko. TPDF wanamalizia mabomu chakavu kule gongo la Mboto. Muwe na amani
loo..lets pray hilo janga lisilete madhara maana nimesikia kwa mujibu wa wataalam tetemeko linaweza kuendelea.I see, ndo maana hapa kwenye kiti changu nimehisi kurushwarushwa kama mara mbili hivi, ila sikujua ni nini?