Tetemeko la ardhi dodoma

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,599
3,673
Muda sio mrefu majira ya saa tano na robo saa za Afrika Mashariki kumetokea tetemeko la Ardhi mjini Dodoma japo halikuleta madhara ya moja kwa moja kama uharibifu nk.
 
Nimeongea na watu wawili wamesema "tunasikia kutoka kwako" sasa sijui ndugu umepata habari kwa nini hebu muulize pengine hilo tetemeko limetokea mtaa wa dodoma pale ilala :)
 
Muda sio mrefu majira ya saa tano na robo saa za Afrika Mashariki kumetokea tetemeko la Ardhi mjini Dodoma japo halikuleta madhara ya moja kwa moja kama uharibifu nk.

Najua wapinzani wataanza oooh! uongozi umeshindwa kabisa kuzuia matetemeko hapa nchini
 
kawaida sana kwa dom......likitokea unasimamia mguu mmoja likipita unaendelea na shughuli zako
 
matetemeko madogomadogo Dom ni jambo la kawaida linaweza pita ipagala, Area A, Area D, na Area C lakini mitaa mengine waclisikie. So its a small matter.
 
Najua wapinzani wataanza oooh! uongozi umeshindwa kabisa kuzuia matetemeko hapa nchini
duh!
kawaida sana kwa dom......likitokea unasimamia mguu mmoja likipita unaendelea na shughuli zako

ndo naskia kwa mara ya kwanza!

hii ni siriaz ishu nanyie mnaleta utani, nataka nimtume mtu akaangalie pagale nalojenga kama lishaweka ufa tujue la kufanya.
 
Back
Top Bottom