Tetemeko dogo la ardhi limetoea mikoa kadhaa Tanzania

ni muda wa saa 12dk1 asubuhi hii ya leo j5 tetemeko limepita hapa dodoma mjini limetokea upanda kusini kuelekea kaskazini limechukua kama sekunde 37 sijajua kama kunasehemu yametokea madhara
Limepita Arusha pia kama saa 12dk 7.....ingawaje dogo
 
ni muda wa saa 12dk1 asubuhi hii ya leo j5 tetemeko limepita hapa dodoma mjini limetokea upanda kusini kuelekea kaskazini limechukua kama sekunde 37 sijajua kama kunasehemu yametokea madhara
Duh...... Hiyo ni dalili tosha kuwa kutatokea tetemeko kubwa mjini Dodoma kwenye vikao viwili vya ndani vya CCM na BAVICHA - CHADEMA..........
 
OTE="jaoline1, post: 16831383, member: 369993"]Hata morogoro tumeliskia kwa mbaali kidogo[/QUOTE]
Arusha pia limepita asubuhi hii
 
That is an earth tremor.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kilichopita ni mwangwi wa Tetemeko la ardhi ambalolimfepita kwenye Bonde la Ufa la Kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…