Eeeeeeeeee.... Lugha ya Kiswahili. Ujuwe atujapata Uhuru. Bado tunatawaliwa na Waengereza na nyimbo za Kiswahili atuziewi. KANYAGAhiyo nyimbo
Huo wimbo![]()
Nyimbo nyingi za diamond hazifai kusikilizwa na watu wazima
Yamefika huko?MBONA harmonize hafungiwi?
😂 😂 😂 😂 😂 😂Rekodi mbili?? Imeelezwa moja??..
Imeandikwa kama ya magazeti na vi-account vya Youtube.
Unakuta kichwa cha habari.
Waziri abaka mchana kweupe
Kumbe mtu anaitwa waziri.
Mkapa alawiti 😂😂😂 kumbe ni jamaa la Mtwara linaitwa MkapaRekodi mbili?? Imeelezwa moja??..
Imeandikwa kama ya magazeti na vi-account vya Youtube.
Unakuta kichwa cha habari.
Waziri abaka mchana kweupe
Kumbe mtu anaitwa waziri.
Ndiyo mambo ya kina Sani, Ijumaa na vi-account vingi vya Youtube.Mkapa alawitikumbe ni jamaa la Mtwara linaitwa Mkapa
Hivyo vitabu vinasomwa kwenye Radio ya Jamii na kuonyeshwa kweenye public TV ?Kuna vitabu vinaporn ila havipigwi marufuku.
Dunia ngumu sana hii