Testing:

Sure, testing. Nataka kuweka picha bila format ya thumbnails
...RF unajua hata mimi nimekuwa nikijaribu mara kadhaa kuweka picha bila hiyo format ya thumnails ili mtu akifungua tu aone picha moja kwa moja au bila kusubiri kuwa-downloaded nimeshindwa. Nina mapicha makali kibao...may be uni-pm na kunielewesha...
 
cha kufanya ndugu ukishaona picha unakopi image location kwa kuiright click. Then unarudi jf lile box la kuandika ujumbe. Unaminya insert image. Unaminya kibox cha URL. Unaminya na kupest link yako hapo penye space. Chini yake pana kibox kina alama ya vema. Minya kuiondoa. Chini yake pana kitufe, kiminye na picha itaonekana kwenye box ya msg. Kisha una submit. Simple like that.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom