Rugby Union
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 402
- 257
Timu ya Daraja la kwanza Tanzania Bara ijulikanayo kama TESEMAA F. C yenye Makazi yake Manispaa ya Temeke jijini Dar Es Salaam, leo imebadili jina rasmi na sasa itaitwa KMC F. C ( Kinondoni Municipal Council F. C ) baada ya kubadilishwa mmiliki wake kuwa ni Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ya Jiji la Dar Es Salaam pia.
Binafsi naipongeza Manispaa ya Kinondoni kwa Maamuzi Magumu lakini yenye muono wa mbali.
Kazi kwetu wachezaji, wanamichezo na wananchi wa Manispaa ya Kinondoni kutoa tofauti zetu na kuunganisha nguvu kuitangaza zaidi Kinondoni kupitia soka.
Watanzania wote, Taasisi mbalimbali na Serikali kwa ujumla ilianza Mbeya ( Mbeya City ), ikaja Mtwara ( Ndanda F. C ) na sasa Kinondoni (KMC F. C ) natoa rai na wengine waige mfano huu mzuri.
Taasisi zenye dhamana ya Michezo pia toeni uahirikiano mzuri wa kuendeleza Fikra Njema za wabunifu wetu na wadau hawa.
Meya wa Manispa ya Kinondoni, Yusuph MWenda akishuhudia makabidhiano ya nyaraka kutoka kwa aliyekuwa mmiliki wa TESSEMA, Saleh Mohamed Saleh