TESLA yafikisha thamani ya dola trilioni 1

TESLA yafikisha thamani ya dola trilioni 1

MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
304
Reaction score
403
Tesla imeungana na Apple, Amazon, Google, Facebook na Microsoft kuwa na historia ya kufikisha thamani dola ya Tril 1. Apple ilikuwa kampuni ya kwanza kufikisha thamani ya dola Trillioni 1 mwaka 2018.

IMG_2619.jpg


Tesla imepanda thamani baada ya kupata dili la kuuza magari 100,000 kwa kampuni ya Hertz.
 
Elon ni mwanaharamu...na hiyo ni kampuni yake moja tu...afu mi naridhika kwa kabiashara kamoja
 
Elon si kaachana na dem wake juzi juzi. Kweli mapenzi siyo pesa
 
Back
Top Bottom