Tesla model3

Tesla model3

Emman1985

Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
37
Reaction score
44
Habari wanabodi? Tumai mu-wazima afya njema. Leo napenda kuuliza kuhusiana na gari Aina ya Tesla model 3. Je, tuna vituo vya kuchajia magari ya namna hii? Barabara zetu zinasapoti mfumo wa magari Aina ya Tesla?
 
Back
Top Bottom