Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,157
- 17,051
Teofimo kapigana mapambano 23. Kashinda 22 kapoteza 1
Shakur kapigana 24 kashinda zote.
Mpambano unaanza saa 8:15 ahsubuhi hii.
Mwenye link atuwekee hapa
Utabiri wangu Lopez Huyu muhuni atashinda.
Shakur kapigana 24 kashinda zote.
Mpambano unaanza saa 8:15 ahsubuhi hii.
Mwenye link atuwekee hapa
Utabiri wangu Lopez Huyu muhuni atashinda.