Tension in Mombasa as Al-Shabaab suspect Rogo killed

Ndio unafiki tunaozungumzia maana hao vijana huhudhuria ibada misikitini chini ya uongozi wa wahubiri hao.

La msingi ni kuwa uislamu kama madini mengine yameshindwa kujitenga na magaidi haswa MSA. Ile doctrine ya KAFIR na mabikira kumi na wanne ndio vijana wadogo wanaelimishwa mpaka ambapo watakapozeeka.... wapi uislamu wa kale? Hata MYC ikabanduliwa, makundi mengine yataibuka na malengo yale yale ya ugaidi. Kutaja Alshababu kama ndugu najua Muislamu mwenye imani Halisi hawezi akajihusisha nalo...lakini Uislamu umechukua mkondo mpya ya kutohubiri amani na uvuguvugu huo ndio unafanya magaidi kupata kivuli chini ya waislamu wenye haki. Na wao walimu wa dini wanaona dawa ya kusuluhisha marginalization ni kuwaachia vijana kuzua vurugu huku wao wakiwa na pahali pengi na nchi za kutorokea.
Sasa wewe ulitaka dawa ya marginalization iwe nini?.Unataka masheikh walie lie tu.Ni kusema na vijana wakielewa siku ikifika kama juzi wafanye kama vile.Dawa ninayoijua mimi ni kuwacha hiyo marginalization.

Halafu wewe unajidanganya bure.Miaka hii hakuna kukimbia mkituchokoza ni kupigana tu.Mkijenga baa pembezoni pa misikiti tutasali hapo hapo na siku ikifika tutachoma moto.

Nje tunakwenda wapi ?.Syria ndio hiyo na Saudia ndio hiyo.Kote huko Israel na Mosad na CIA wako kuchochea wenyeji kufanyiziana dhulma na kupigana wenyewe kwa wenyewe.Hivyo mkikubali kufuata maelekezo yao matatizo yakitokea ni nyinyi na sisi!.Juzi tulipomzika sheikh Aboud tulimuomba Mungu atuletee mwengine badili yake,na wako wengi watakuja tu.
 
Ok mkuu, my mind is open to learn, explain to me. I have always thought that muslims call non believers 'kafirs' and if I check the word it seems to be derogatory and holds non muslims in a negative perspective.
Not that way brother!.The term kafir applies even to muslims themselves if they do differently from islamic teachings.
 
Not that way brother!.The term kafir applies even to muslims themselves if they do differently from islamic teachings.

Asante Mkuu, jibu lako ni sahihi, sasa wakati ninahangaika to and fro kwenye mtandao nimekutana na website hii hapa Mtu Asiye Swali Kuitwa Kafiri | Alhidaaya.com . Hebu Mkuu ichungulie kidogo unijulishe ni ya kikundi ambacho sio sahihi kuitwa waislam? Baadhi ya vitu walio andika hawa jamaa ni yafuatayo:-

Al-Baqarah 2:256
Lakini mtu akishasilimu au akiwa ni Muislamu harusiwi tena kutoka. Dini si kitu cha mchezo, mtu kuingia na kutoka atakavyo. Mwenye kutoka katika Uislamu huitwa "murtad" na hukmu yake ni kuuliwa. Kama alivyosema Mtume صلى الله عليه وآله وسلم
‏((‏من بدل دينه فاقتلوه))
((Mwenye kubadilisha dini yake (ya Kiislamu) muueni )).
(Al Bukhari 6922, Abu Dawuud 4329, At-Tirmidhiy 1483).

Kama ni sahihi, basi kwanini waislam wasitamke kuwa hivi ndivyo hadharani kusudi wakristo nao waelewe hii kitu openly na wajue ya kwamba wakipatikana wanamshawishi muislam kutoka kwenye uislam na kuingia ukristo basi nao wajue kuna hatari ya kuuawa? Naye muislam akihubiri hivyo ulimwengu utakuwa haumuelewi na ataitwa gaidi wakati ni dini yake ambayo ni halali na haijapigwa marufuku mahali popote . je, muislamu atachagua sehemu zingine kwenye Qu'ran azikubali na aache zingine? Hivi dini yake si itakuwa imebadilika?
 
Sasa wewe ulitaka dawa ya marginalization iwe nini?.Unataka masheikh walie lie tu.Ni kusema na vijana wakielewa siku ikifika kama juzi wafanye kama vile.Dawa ninayoijua mimi ni kuwacha hiyo marginalization.

Halafu wewe unajidanganya bure.Miaka hii hakuna kukimbia mkituchokoza ni kupigana tu.Mkijenga baa pembezoni pa misikiti tutasali hapo hapo na siku ikifika tutachoma moto.
Nje tunakwenda wapi ?.Syria ndio hiyo na Saudia ndio hiyo.Kote huko Israel na Mosad na CIA wako kuchochea wenyeji kufanyiziana dhulma na kupigana wenyewe kwa wenyewe.Hivyo mkikubali kufuata maelekezo yao matatizo yakitokea ni nyinyi na sisi!.Juzi tulipomzika sheikh Aboud tulimuomba Mungu atuletee mwengine badili yake,na wako wengi watakuja tu.

Ukataka kujua kuwa mimi sio Kigugumizi ikija kwa vitisho yangu ni haya.... wewe una tatizo na sita sita-sita wakati huu kama unataka kusikia ukweli na ukweli usemwe...Mulitaka wenyewe kungoja maembe na minazi yaanguke Kutoka mitini. Hii miaka yote ndio mumeerevuka kwamba munataka shughuli endelevu pwani..bali usisahau kuwa maendeleo endelevu haiwezi kufanywa kwa kutenga makabila mengine ya Kenya. Kwa kuwa najua kuna watu kutoka pwani sehemu zingine kenya na ni waislamu hawajapotea kiudini/kimafikira kama baadhi yenu. Unalohimiza ni ngumu kufanyika. Amani wakati huu utadumishwa kwa kila njia namna. Tutaenda pamoja kama inavyopasa na PWANI ITABAKI KENYA SIKU ZOTE!!!

Maadam mungehubiri amani wakati wote mungesamehewa lakini kwa sababu mulitaka/mulifurahia mauti/maafa kwa wenye wasio na hatia; mwaletewa mauti kwenye milango yenu. Kigogo wenu Osama alianza safari akakumbana na lake... kumbuka kwa kauli yake mwenyewe....na wakija wengine kwao kauli yao wenyewe watakumbana ma mauti. Viongozi wenu wanahubiri AMANI na wewe umesalia kwenye vituko vya kimama hapa tu.
 
Sijakuelewa vyema,umetumia mafumbo mengi.Baadhi ya vitu ulivyotaja inaonekana huna taarifa sahihi.

Maendeleo endelevu yasije kwa kudhulumu na kuibia wengine.Sio makabila mengine yachukue ardhi za wenyeji kwa ujanja ujanja.Iwe ni kwa maridhiano na mauziano.Ukisema Pwani itabaki Kenya hakuna tatizo lakini ikiwa ni kwa njia ya bunduki basi kila siku zikisonga matatizo hayatoisha.

Ulitaja Osama,wacha hiyo habari!. Hakuna Osama kama yule wa Abbotabad kama ambavyo hakuna Alshabaab hao inaopigana na Kenya.Hawa watu ni wa kutengenezwa tu ili kuendeleza vita.Watu wajinga wajinga kama wewe ndio wanaokubali propaganga hii.Mimi na Assange tunawaoneni nyinyi mbumbumbu tu kwa vile hata tukiwapatia ushahidi bado mnaendelea kuamini kama anavyotangaza Obama na magenge yake.

Kitu kilichopelekea sheikh Aboud kuuliwa kupitia magaidi waliopenyezwa jeshi la Kenya ni kwa vile alikuwa akipinga hii vita na sio kwamba alikuwa akijihusha navyo.

Mimi nawaonea huruma wakuu wa jeshi wa Kenya na polisi,ni kweli hawana taarifa sahihi za kifo cha sheikh Rogo na wala hawakupanga wao lakini wanajikuta ni watuhumiwa na hawana jibu kwa vile Raila na Kibaki wamekaribisha magaidi nyumbani.
 
ab tichaz vipi kaka,kwema? wacha nikuelimishe wakenya ni watu wajanja sana inawezekana huyu kijana aliyevalia crufix amefanya hivyo makusudi ili hata ajitetee eti yeye ni mkristo kwa hiyo angeusikana na maandamano hayo. wakenya ni watu usipokuwa makini wanaweza kukuangaisha sana. i believe this guy is intentionally doing this lakini hata faulu kwani polisi wa kenya wamezoea njama za raia kama hizi yaani smokescreens. halafu nakuomba usidelete hizi post zangu kaka i am celebrating the involuntary manslaughter of the al shabab terrorist an opinion poll conducted in one kenyan website shows 83% of Kenyans believe Rogo was a terrorists. dont shoot the messanger bro,

you wrote,"
wacha nikuelimishe wakenya ni watu wajanja sana inawezekana huyu kijana aliyevalia crufix amefanya hivyo makusudi ili hata ajitetee eti yeye ni mkristo kwa hiyo angeusikana na maandamano hayo. wakenya ni watu usipokuwa makini wanaweza kukuangaisha sana. i believe this guy is intentionally doing this lakini hata faulu kwani polisi wa kenya wamezoea njama za raia kama hizi yaani smokescreens.i believe this guy is intentionally doing this lakini hata faulu kwani polisi wa kenya wamezoea njama za raia kama hizi yaani smokescreens."

1. Ikiwa hali ndio hiyo jee , ya kudanganyana , haiwezekani hayo makanisa yakawa yamechomwa na wakristo wenyewe ??

2. Jee ! ikiwa Polisi imezoea huo mchezo haiwezekani hao waliokamatwa wakawa ni Polisi na informers wao in disguise wakiwa katikambinu za kudanganya mass media na wananchi , kuwa wanafanya kazi ??
 
...Mulitaka wenyewe kungoja maembe na minazi yaanguke Kutoka mitini.
Kabaridi,

I will call you out on this one first before I even decide to engage you on the other points.

Hii kitu umenena hapo juu ni uongo na naomba uthibitisho where that was written or said or even claimed!

And in this case unaposema "Mulitaka" who are you referring to before we continue with this discussion?
 
Why are you assuming that these are those who were accused of burning the churches. There are those who took advantage of the chaos to loot and probably didn't even care about Rogo and there are those who burnt churches and attacked the police with offensive weapons and they obviously had a religious agenda. Ama next you're going to tell us that normal thugs use grenades? When those who would consider themselves "moderates" engage in this kind of denialism the problems we are dealing with can never be resolved.

I'm not assuming anything but simply going by what the article says. There were riots in Mombasa which included a
host of issues including...yes hurling of grenades, burning of churches and looting of buildings. These faces we see
are what the infamous Kenya Police have brought to the court to prosecute.

My point to you is that eventually these men will walk. The investigative history of the Kenya Police is where I'm
drawing this conclusion from. These riots are too complicated for them to wrap their rudimentary skills around either
by ommision or commission or the famous 'instructions from above' line.
 
Meanwhile:

MAN HELD OVER GRENADE ATTACKS IN MOMBASA

Police have arrested a man they believe is behind two grenade attacks on security agents during this week's Mombasa riots.

A court also issued a warrant of arrest for another man said to have incited the chaos.

Both were described as trained members of the Somali militant group Al-Shabaab.

Three security officers were killed in the separate attacks and 20 wounded. The suspect in custody is claimed to be among Kenyans trained by Al-Shabaab in Somalia and sneaked back into the country.

Coast deputy provincial police officer Robert Kitur said the man was arrested hours after the Wednesday night attacks.

Investigators are questioning the suspect, he said.

"We are trying to establish when and where he trained," he added.

Separately, a Mombasa magistrate's court issued a warrant of arrest for a man police suspect to have instigated the violence.

Mombasa senior resident magistrate Elvis Michieka issued the warrant against Mr Abubakar Shariff alias Makaburi following an application by the prosecution.

Mr Shariff is alleged to have called for the killing of imams perceived as close to the government, police officers and the burning of churches.

The offence is alleged to have been committed on August 27 at Masjid Musa Mosque in Majengo, Mombasa.

The developments came as President Kibaki asked Kenyans to resist attempts to incite sectarian violence in the country.

Speaking in Mombasa town which has been ravaged by two days of deadly riots, the President said Kenyans should stand up to anyone out to cause divisions among them for whatever cause and reason.

Four people have died in the riots triggered by Monday's killing of Al-Shabaab suspect Aboud Rogo. The casualties include three security agents who died following a grenade attack in Kisauni.

Twenty policemen and scores of civilians have been injured in the violence in which protesting youths have attacked churches, burning and looting them.

Negative forces

"I wish to remind all Kenyans that we must always maintain peace and security which is the foundation of our prosperity and democracy. We should never allow any negative forces to divide us along any lines," he said when he opened the Mombasa International Show at Mkomani.

This is the second time in as many weeks that the President is warning Kenyans against fanning violence.

Last Friday at the passing-out parade of recruits at the Kenya Police Training College in Nyeri, President Kibaki warned that inciters would be dealt with firmly in accordance with the law.

The President was outraged by the senseless loss of life and property in ethnic clashes in Mandera, Wajir and Tana River counties.

On Thursday, he said the country had just wrapped up successful county peace forums whose climax was the national peace conference held early this week in Nairobi at which Kenyans committed themselves to live in peace.

"During these events, Kenyans were unanimous that we should embrace, co-exist and tolerate each other as one people and one nation," he said.

Responding to pleas from Coast leaders who urged his government to maintain peace, law and order, President Kibaki said: "We have heard the wishes of these leaders and we have to ensure that Kenya is on the right path."

The local leaders expressed concern that a majority of those who participated in the Mombasa violence were youths aged between 15-20 years.

"There is no justification for this kind of violence. As Kenyans, we should not sit and watch as others try to disrupt peace in our country," Kisauni MP Hassan Joho said.

Those promoting violence, he added, lived among the residents and should be exposed and arrested.

"We must all take responsibility and ensure that whoever is living among us and we suspect to be involved in criminal activity is reported to the authorities," Mr Joho said.

Chaos and instability

Gender minister Naomi Shaban appealed to the youth not to allow anybody to use them to cause chaos and instability.

Changamwe MP Ramadhan Kajembe commended the police for restoring peace, but asked them to carry out their duties without harassing innocent people.

The inquiry team appointed by DPP Keriako Tobiko should move with speed and expose those behind Mr Rogo's murder and ensure they are brought to book, he said.

On Thursday, Mr Tobiko who met the team in his office, said its terms of reference would include investigating the killing of Sheikh Rogo and law enforcement officers, all acts of criminality, including the burning of churches and destruction of property.

And Mombasa residents on Thursday enjoyed their second day of peace after the chaos.

Paramilitary and regular police kept vigil across the town but mainly in Majengo and Kisauni which were the epicentres of the clashes on Monday and Tuesday.

Reports by Gitonga Marete, Anthony Kitimo, Philip Muyanga and Galgalo Bocha

Man held over grenade attacks in Mombasa - News|nation.co.ke
 
FACT: AL SHABAB NI WAKENYA NA INAWEZEKANA WASIWE WAISILAMU

Ni vipi nimebaini kua hivyo ndivyo?

Al shabab wote tuliosoma kwenye magazeti na televisheni kwamba wamekamatwa ni raia wa Kenya.
Wengi wao wana majina ya ki asili ya kabila za kenya wakiwepo wakikuyu,wajaluo,wakamba, waluhya n.k
Sasa hapo mwisho wa jina wanabandika majina ya kiislamu Ali, Husein, mohamed

Wakifuatiliwa Kwenye misikiti yao inapatikana wamejiunga kwenye dini ya kiislamu hivimajuzi na dini yenyewe
hawajaipatia vizuri.

Viongozi wao waliokamatwa na wanaoshukiwa kuwa ni viongozi wa al shabab ni wakenya.
Hamna jihadist hata mmoja kati yao kwa sababu hakuna aliyejilipua. Wanatupa mabomu yao na kukimbia.

Ni sahihi basi tuseme kana kwamba vita vinavyoendelea somalia ni vya wakenya kwa wakenya?
Hii civil war basi ni bora irudishwe kenya itolewe somalia.Wakenya wanatupia wakenya mabomu alafu
wanaenda kupigania kwenye nchi ya wasomali?

Hiyo ni conclusion yangu.
______________________________________________________________________________________________________________
QUOTE:
quote_icon.png
By @Nairoberry

...wakenya ni watu wajanja sana...
 
By Nairoberry

...wakenya ni watu wajanja sana...

with all due respect, if this is your analysis i disagree. All Christians/Islams are all Kenyans, only happens that a select quater of Muslims due to their Jihad doctrines and warlike sermons tend to be a thorn in the flesh.

However, its undispitable that Christians supposedly luhyas, kikuyu, luo and Kambas have been caught in the thread.

NOTE: this are only tribes and but with only different religious affiliations
. some of this get entangled by mode of association and end up being indoctrinated to hardcore islam such as the Luhya guy called Bwire who was initially a christian.

It is therefore inconsistent to insinuate the above allegory that Kenya is experiencing a civil strife yet all clips over this particular riot clearly depict Islamic youths in full fight path over the slain Brigand or otherwise guilty till absolved cleric, guilty all the same.

Its sth else....settles to poor religious faith leaders; how does one cleric, maybe more, advocate for killing of Kenyans alshabaab style and yet when the same is done unto them the very supposedly righteous muslim counsel comes to the aid of the same clerics and does a human rights stunt, ''when the cleric preaches jihad, are the innocent populace less Kenyan due to practising a different faith from his/theirs?''. TWISTED.

KDF are on a totally different assignment away from HOMELAND SECURITY, to protect the Kenyan interests that were otherwise threatened by a bullish, stubborn militant.
 
Wewe Kabaridi huenda ni sehemu ya mfumo waliomuua sheikh wetu sasa mnatafuta namna ya kukwepa tuhuma.

Hapa ndugu umeteleza kidogo na hasira..Kumbuka haiwezekani washirki hapa JF kuhusika na vitendo vya kinyama kama kilichotendeka. Hoja hapa ni kujadili habari inavyotokea. That what you have said is too ambiguos and inflamatory statement I think MODS should restrain such guys from promoting such negative hatred on the blogosphere.
Haya Je! unakumbuka hiki kifungu ulichonena awali katika Uzi, kando na hii, moderator hakuweza kukurekebisha. Ulimaanisha mimi ndio mmoja wa system waliomuua ROGO sio?! Nikachukua wakati wangu kujaribu kupoza mwelekeo wa usemi huu kwa kujitoa kutoka majadliano ya namna hii, hukuweza kusikia. Yaonekana hauelewi athari ya tamko hili? Ukajaribu kunitega mapema lakini nikajitega kwa mtego wangu mwenyewe nikakupatia ulichotaka kufahamu. Hata ingawa Moderator ameshindwa kutimiza kazi yake, Please note I will moderate for myself by any means possible.....Ndio pia nataka ufahamu nilikotoka ni mbali na sibabaiki na chuki na unafiki wa watu katika tovuti kwa sababu nimezishuhudia kwa wingi.

Ulichosema ni hiki

Wewe Kabaridi huenda ni sehemu ya mfumo waliomuua sheikh wetu sasa mnatafuta namna ya kukwepa tuhuma.
Niliyokujibu ni haya
Hapa ndugu umeteleza kidogo na hasira..Kumbuka haiwezekani washirki hapa JF kuhusika na vitendo vya kinyama kama kilichotendeka. Hoja hapa ni kujadili habari inavyotokea. That what you have said is too ambiguos and inflamatory statement I think MODS should restrain such guys from promoting such negative hatred on the blogosphere.

Sijakuelewa vyema,umetumia mafumbo mengi.Baadhi ya vitu ulivyotaja inaonekana huna taarifa sahihi.

Maendeleo endelevu yasije kwa kudhulumu na kuibia wengine.Sio makabila mengine yachukue ardhi za wenyeji kwa ujanja ujanja.Iwe ni kwa maridhiano na mauziano.Ukisema Pwani itabaki Kenya hakuna tatizo lakini ikiwa ni kwa njia ya bunduki basi kila siku zikisonga matatizo hayatoisha.

Ulitaja Osama,wacha hiyo habari!. Hakuna Osama kama yule wa Abbotabad kama ambavyo hakuna Alshabaab hao inaopigana na Kenya.Hawa watu ni wa kutengenezwa tu ili kuendeleza vita.Watu wajinga wajinga kama wewe ndio wanaokubali propaganga hii.Mimi na Assange tunawaoneni nyinyi mbumbumbu tu kwa vile hata tukiwapatia ushahidi bado mnaendelea kuamini kama anavyotangaza Obama na magenge yake.

Kitu kilichopelekea sheikh Aboud kuuliwa kupitia magaidi waliopenyezwa jeshi la Kenya ni kwa vile alikuwa akipinga hii vita na sio kwamba alikuwa akijihusha navyo.

Mimi nawaonea huruma wakuu wa jeshi wa Kenya na polisi,ni kweli hawana taarifa sahihi za kifo cha sheikh Rogo na wala hawakupanga wao lakini wanajikuta ni watuhumiwa na hawana jibu kwa vile Raila na Kibaki wamekaribisha magaidi nyumbani.
Hapo kwenye Blue ni kweli lakini wale wanaohusika na wizi huo wastakiwe kupitia afisi zinazohusika.... Kumbuka ni wengi bila lawama wanaopatikana katikati ya huu mzozo/crossfire, wengine kwa kupoteza maisha. Osama wa Abbotabad alichinjwa, lakini wanaosema ni true ISLAM kama ninyi wanaendeleza kampeini yake. Hafadhali Alshabaab kwa sababu wamejitolea mhanga kufa kwa kuitwa magaidi na wanakumbana na kuchinjwa kwao kichinjioni Somalia na hatima yao imeandikwa kwa wino usiofutika. Lakini wale hatari zaidi ni akina wewe na wenzako ambao dakika moja ni magaidi, dakika zingine wnageuka kuwa waislamu wasio na lawama. Huu uvuguvugu ndio wa kishetani kabisa. Wasema ROGO alikuwa akituhumu jeshi la kenya isiingilie vita vya somalia...Mbona hakusema hilo wazi... hizi vilio za past injustices ndio zinaendeshwa na watu kama wewe kuhusisha wasio na lawama kwa kutekeleza vitendo vya kigaidi. Kumbuka pengo zote sikishazibwa panya hana pa kutorokea.

Inabidi ujikumbushe neno ISLAM au UISLAMU, mojawepo ya maana yake ni AMANI lakini tunashuhudia kinyume maana ule uhuru ulioko kenya wa maoni na kuungana na yeyote; wapenzi wenu kutoka Ulaya na mashirika za Dola na mitandao za kigaidi wamechukua nafasi hiyo kuweka kenya kwenye GHASIA NA MICHAFUKO. Haiwezekani kenya kuanguka mpaka sehemu Nigeria ilipo. NI MASIKITIKO MAKUBWA kuwa UISLAMU UMEBAKI UTAJI WA KUFICHA WAOVU, UOZO, NA WANAFIKI WANAPOSHIRIKI. Ukasema magaidi/Alshabaab ni wa kutengenezwa. Nani kawatengeneza?!! Je! unaweza katuelezea nani kawatengeneza?? Wakitenda vitendo vya uuaji, nani wanawajibika??!! Je! ni UISLAMU?!! Ni nini au nani anapaswa kuwajibika hasa kuwaondoa Alshabaab?!!

NB: Ukishanipa majibu ya swali langu la mwisho, nitaendelea kujadiliana nawe. ......

Kabaridi,

I will call you out on this one first before I even decide to engage you on the other points.

Hii kitu umenena hapo juu ni uongo na naomba uthibitisho where that was written or said or even claimed!

And in this case unaposema "Mulitaka" who are you referring to before we continue with this discussion?
Wrong choice of term, ndugu, I dispensed a destructive weapon. But I was responding to an opinion built upon anarchism, and therefore I think if you were in my shoes you would have trouble containing the same.
 
with all due respect, if this is your analysis i disagree. All Christians/Islams are all Kenyans, only happens that a select quater of Muslims due to their Jihad doctrines and warlike sermons tend to be a thorn in the flesh.
However, its undispitable that Christians supposedly luhyas, kikuyu, luo and Kambas have been caught in the thread.
NOTE: this are only tribes and but with only different religious affiliations
. some of this get entangled by mode of association and end up being indoctrinated to hardcore islam such as the Luhya guy called Bwire who was initially a christian.
It is therefore inconsistent to insinuate the above allegory that Kenya is experiencing a civil strife yet all clips over this particular riot clearly depict Islamic youths in full fight path over the slain Brigand or otherwise guilty till absolved cleric, guilty all the same. Its sth else....settles to poor religious faith leaders; how does one cleric, maybe more, advocate for killing of Kenyans alshabaab style and yet when the same is done unto them the very supposedly righteous muslim counsel comes to the aid of the same clerics and does a human rights stunt, ''when the cleric preaches jihad, are the innocent populace less Kenyan due to practising a different faith from his/theirs?''. TWISTED.
KDF are on a totally different assignment away from HOMELAND SECURITY, to protect the Kenyan interests that were otherwise threatened by a bullish, stubborn militant.

Aha! surely if Bwire- a kenyan guy- is fighting for al shabab in Kenya to kill kenyans who do you think is his counterpart in somalia fighting against KDF? it will be something like musyoka abdul or nderitu ahmed.
 
i respect your insight but am not being a snob, be critical to analyse the root source of the underlying problems, where do they originate from, who/what funds them? Was KDF's incursion the last panacea to this alshabaab maneno? My answer is yes. Afterall closing the border didnt work.

Let me refresh your mind about Bwire, he was an electrical engineering student supposedly from Kenya Polytechnic, somehow through his regular associations within the suburbs of Nairobi he got entangled into a radical islamic exremists cell in majengo estate.

The extremist cell then facilitated the travel and training of this guy to and within somalia to become a hardcore ''ISLAMIC MILITANT''. He was later sneaked/deployed back to Kenya with a miriad of assignments amongst them settle scores with the poltical leadership.

If intelligence sources are right, the guy was aiming for the ''top man in Kenya''. Ofcourse that was a far fetched idea that he would never have achieved.

On one instance, (one of the assignments), what saved innocent Kenyans in a stadium gathering, was the fact that his mother was at the same stadium and within harms range. The guy couldnt unleash terror so he just walked away, didnt even say a word to his mother despite not seeing her while on militant training in somalia. Education mattered less anyway.

Mark you, this is one poisoned fella, how many did Rogo poison with his sermons? He was daring enough to advocate for matyrdom and Alshabaab heroism on media. He is actually on record saluting the evil alshabaab for what it is.

1). Is that what you would call a cleric?
2). Would you call him a Kenyan citizen or enemy of the state?

What KDF is accomplishing in somalia is dismantling alshabaabs ability to train hardcore elements and degrading her ability to operate as a militant force.

NOTE: Kenyans dont form the bulk of these exremists, moreso in somalia and if so; ONLY IN NEGLIGIBLE NUMBERS. KDF is only stumping out the possibilities of alshabaab to influence the public such that there are no more, Ahmed Ahmed, Mohamed Nderitu or Bwires cropping up while safeguarding Kenyas blueprint as envisaged under vision 2030, LAPPSET, a secure neighbour.
 
Haya Je! unakumbuka hiki kifungu ulichonena awali katika Uzi, kando na hii, moderator hakuweza kukurekebisha. Ulimaanisha mimi ndio mmoja wa system waliomuua ROGO sio?! Nikachukua wakati wangu kujaribu kupoza mwelekeo wa usemi huu kwa kujitoa kutoka majadliano ya namna hii, hukuweza kusikia. Yaonekana hauelewi athari ya tamko hili? Ukajaribu kunitega mapema lakini nikajitega kwa mtego wangu mwenyewe nikakupatia ulichotaka kufahamu. Hata ingawa Moderator ameshindwa kutimiza kazi yake, Please note I will moderate for myself by any means possible.....Ndio pia nataka ufahamu nilikotoka ni mbali na sibabaiki na chuki na unafiki wa watu katika tovuti kwa sababu nimezishuhudia kwa wingi.

Ulichosema ni hiki

Niliyokujibu ni haya

Hapo kwenye Blue ni kweli lakini wale wanaohusika na wizi huo wastakiwe kupitia afisi zinazohusika.... Kumbuka ni wengi bila lawama wanaopatikana katikati ya huu mzozo/crossfire, wengine kwa kupoteza maisha. Osama wa Abbotabad alichinjwa, lakini wanaosema ni true ISLAM kama ninyi wanaendeleza kampeini yake. Hafadhali Alshabaab kwa sababu wamejitolea mhanga kufa kwa kuitwa magaidi na wanakumbana na kuchinjwa kwao kichinjioni Somalia na hatima yao imeandikwa kwa wino usiofutika. Lakini wale hatari zaidi ni akina wewe na wenzako ambao dakika moja ni magaidi, dakika zingine wnageuka kuwa waislamu wasio na lawama. Huu uvuguvugu ndio wa kishetani kabisa. Wasema ROGO alikuwa akituhumu jeshi la kenya isiingilie vita vya somalia...Mbona hakusema hilo wazi... hizi vilio za past injustices ndio zinaendeshwa na watu kama wewe kuhusisha wasio na lawama kwa kutekeleza vitendo vya kigaidi. Kumbuka pengo zote sikishazibwa panya hana pa kutorokea.

Inabidi ujikumbushe neno ISLAM au UISLAMU, mojawepo ya maana yake ni AMANI lakini tunashuhudia kinyume maana ule uhuru ulioko kenya wa maoni na kuungana na yeyote; wapenzi wenu kutoka Ulaya na mashirika za Dola na mitandao za kigaidi wamechukua nafasi hiyo kuweka kenya kwenye GHASIA NA MICHAFUKO. Haiwezekani kenya kuanguka mpaka sehemu Nigeria ilipo. NI MASIKITIKO MAKUBWA kuwa UISLAMU UMEBAKI UTAJI WA KUFICHA WAOVU, UOZO, NA WANAFIKI WANAPOSHIRIKI. Ukasema magaidi/Alshabaab ni wa kutengenezwa. Nani kawatengeneza?!! Je! unaweza katuelezea nani kawatengeneza?? Wakitenda vitendo vya uuaji, nani wanawajibika??!! Je! ni UISLAMU?!! Ni nini au nani anapaswa kuwajibika hasa kuwaondoa Alshabaab?!!

NB: Ukishanipa majibu ya swali langu la mwisho, nitaendelea kujadiliana nawe. ......

Wrong choice of term, ndugu, I dispensed a destructive weapon. But I was responding to an opinion built upon anarchism, and therefore I think if you were in my shoes you would have trouble containing the same.

Julian Assange alipokuwa akiwahutubia waandishi kutoka Balcony ya ubalozi wa Ecuador mjini London tarehe 17Agosti alisema hivi:

"The United States must pledge before the world that it will not pursue journalists for shining a light on the secret crimes of the powerful.

Mr Assange also said the United States was facing a choice between re-affirming the "revolutionary values it was founded on" or "dragging us all into a dangerous and oppressive world in which journalists fall silent under the fear of prosecution and citizens must whisper in the dark".

Kwa maneno hayo ya Assange utakuwa umemjua nani kawatengeneza Al shabaab.Kwa maana hiyo hata huo unaoitwa ugaidi wa kupiga makanisa na kuuwa wakenya si Alshabaab wanaotenda.

Akina Kabaridi ndio wanaoamini Neil Armstrong alienda mwezini.Ndio wanaoamini Saddam Hussein alikuwa na silaha za maangamizi.Ndio nyinyi munaomini majengo ya Pentagon yaliporomoshwa na waislamu.

Nyinyi ndio mnaomini kuwa mbajuni kama Aboud Rogo eti alikuwa kiongozi wa Alshabaab,uongozi aliourithi kutoka kwa mwenzake aliyeuliwa Somalia aitwae Fazululaah

Angalia kuhusu Osama wanatoa kitabu wanachosifia kuuzika sana Amazon,eti kimeandikwa na former seal aliyemuua Osama halafu wanatishia kumshtaki huyo seal.Muulize Obama iko wapi picha ya maiti ya Osama?.
 
Udhaifu wako na wengine ni kujawa na papara na kukosa kusoma historia na kufahamu UKWELI. Ndiposa masheikh walio na agenda tofauti kando na uislamu halisi, huweza kwa urahisi potosha na kudanganya baadhi ya waislamu aina yenu. Mwenzagu, kando na mafunzo ya Dini, tafuta kujua ukweli. Usiwe kama mbuzi katika methali fulani asiyefahamu anaongozwa kichinjioni. Historia ya marekani na kujengwa kwa misingi yake sote tunafahamu. Ajabu siku hizi watu wanapindisha historia kama wanavyofanyia UKWELI kuweza kuridhisha na kutukuza doctrine na pia nafsi zao na si kwa lengo la kujielimisha na ndio hawa huanguka kwenye mitego ya kupotoshwa. KUMBUKA NI UKWELI UTAKUWEKA HURU KUTOKA UPOTOVU. " AMIN AMIN NAKWAMBIA, YULE ALIYE NA MWANAWE YUKO HURU". Misingi Marekani ya karne ya kumi na nane ilianza kwa uhuru wa kuabudu freedom of worship na civil liberties na sio REVOLUTION kama anavosema Assange lakini Kuna IMPERIAL WARS zilizotokea baina ya france na UK karne ya kumi na nane, hilo sipingi. Tena ukitarajia kama ulivonena kuwa itakuwa shida siku zote, wewe na wenzako ndio wataendelea kusaga meno na hizo religious provocations.

Kama agenda za wenzako wa jadi HOLDEN ROBERTO NA HUEY .P. NEWTON zilikuwa za haki mbona hawakufua dafu na sielewi kwa nini bado umesalia kwenye propaganda Osama hakuchinjwa na picha ziko kwenye mtandao. Huwa sipendi kutumia propaganda kupigana na propaganda, na pengine hiyo ndio tofauti kati yako na yangu. Sipendi pia kujihusisha katika papara au tu jazba tupu ingawa kuna baadhi ya watu JF wanapenda hayo. Ukitaka kunilainisha mimi, usifanye tu kwa papara, jaribu jinsi iwezekanavyo kunilainisha kwa vidokezo tena za kweli na ndio thamana yako itadhihirika. Ukijaribu kuondolea Al shabaab lawama kuwa hawana doa, inadhirisha UMOJA wako, na imani yao ndio wao wakitenda maouvu ni sawa mbele ya macho ya ulimwengu...Wanaua kwa jina la mungu!!

Mwisho nikimalizia, Assange (Austrian) ni mtumwa wa kuripoti habari ili apate marupurupu na vipaji kutoka wafidhili mbali mbali ulimwenguni, na sehemu zingine, kwa hivyo integrity ya kuripoti kwake inahujumu mkazo wa upeperushaji wa habari halisi. Habari zinazohusisha assumptions au dhana/investigative journalism hazitiliwi maanani sababu kuu ikiwa hiyo niliotaja hapo juu. Mbona anaomba asylum kila mara akishapeperusha propaganda, kama ni mtu shirika lake lina corporate values?! Kumbuka wakati huu watu wanatafuta kila njia kupata umaarufu, na namna ya kula, Assange akiwa moja wao.

Ni hayo tu.....
 
[h=1][/h]Sun Sep 2, 2012 8:00am GMT

* Aboud Rogo was accused of recruiting for Somali rebels
* Growing sympathies for militant Islam along coast
* Rogo's hardline loyalists seen fomenting violence
* Coast a potential flashpoint in 2013 elections

By Richard Lough and Joseph Akwiri

MOMBASA, Kenya, Sept 2 (Reuters) - The assassination of a Muslim cleric in Kenya's port of Mombasa and deadly riots that followed have exposed deep social, political and sectarian divides that could unleash more violence ahead of a presidential election next year.

Unidentified gunmen sprayed bullets into the car of Aboud Rogo on Monday, killing a man accused by both the Kenyan government and the United States of helping al Qaeda-linked Islamist militants in Somalia.
Rogo's supporters fought running street battles with the security forces in the hours after his death, and sporadic violence continued over the following days. Churches were torched and two grenades were thrown at police vehicles. At least five people have been killed.
The government says the violence was organised by Kenya's "enemies" and blames Muslim radicals - including the slain cleric - for supporting al-Shabaab, the Islamists that Kenya's military has been battling since invading Somalia last year.
Muslims, who predominate in many neighbourhoods of Kenya's second largest city, blame the authorities for the cleric's killing, and say it is part of a campaign against their community and faith.
They say the spontaneous outpouring of fury was a natural response, both to the assassination and to decades of political and economic marginalisation in an area where shanty towns cluster in squalor alongside luxurious white sand beach resorts.
"Incited? I don't need to be incited to riot when I have eyes to see my sheikh has been killed by the government," said Otieno Ramadhan, 25, a Muslim convert who sells charcoal.
"We youth from the coast don't have anything to show, no jobs - yet other people get employed daily at the port. All they have brought us here is drugs to kill us slowly," he added. "I will riot. They can shoot us dead if they wish."
"THE POLICE ARE KILLERS"
Ahmed Yahya, a 27-year-old butcher, recalled how the sensation of rage coursed through him when the news of the cleric's killing reached the mosque where he was praying in Mombasa's rundown Kisauni district.
He and other worshippers poured into the streets. The crowd chanted "the police are killers".
"Rogo was a staunch Muslim, that is what I admired most about him: his firm and bold stands on matters of Islam. But, you see, to be a firm Muslim doesn't make you a terrorist," Yahya said, hacking at a slab of meat in his shop.
Rogo had built up a loyal base of supporters in parts of Mombasa, with many of his sermons posted online and on social media. The riots broke out as word of the killing spread through Kisauni and another neighbourhood, Majengo, Rogo's own backyard.
"The sheikh challenged us to be real Muslims, by word and deed, ready to do anything to defend our religion, even die," said Yahya.
Muslims make up barely 11 percent of the population of Kenya but were long the predominant religious group along the coast, where the local Swahili culture was influenced for centuries by Indian Ocean trade links with the Middle East.
Coastal Swahili Muslims complain that they have lost land and jobs to settlers from inland, while seeing little of the wealth generated by tourism on their beaches and traffic at their port, which serves most of east and central Africa.
"The Kenyan coast faces historical injustices such as limited job opportunities, and this has led people to believe this government is against Islam," said Phyllis Muema, who runs a community group operating programmes for unemployed youth.
In Mombasa's Kisauni and Majengo districts, youths idle in the rubbish-strewn streets lined by dilapidated housing and open gutters. Unemployment is rampant; so is drug addiction.
An outlawed coastal group, the Mombasa Republican Council (MRC), wants to secede from Kenya. It has threatened to stage unrest if its demands for independence are not met by next year's presidential election.
The group has distanced itself from the violence that followed Rogo's assassination and denies government assertions that it is linked to Islamic radicalism or support for Shabaab.
"We are not involved with these issues. It is not our arrangement, it is not our project," MRC Secretary-General Randu Nzai said.

"RELIGIOUS ANIMOSITY"
Kenyan Prime Minister Raila Odinga said it was clear the violent reaction to Rogo's killing was organised. He blamed the country's enemies for seeking to "create religious animosity".
"Why deliberately attack churches? That must be part of an organised reaction. Where did the grenades come from? It confirms our worst fears that there is a serious underground organisation conducting this," Odinga said this week.
A senior government official told Reuters police were hunting for three Muslim clerics allied to Rogo, and suspected of fanning the unrest. He declined to disclose their identities.
Sheikh Juma Ngao, a moderate Islamic cleric who disagreed with Rogo over the radicalisation and recruitment of Kenyan Muslims to fight in Somalia, was among the crowd that surrounded Rogo's shot-up car in the aftermath of the attack on Monday.
He blamed prominent associates of Rogo for stoking violence.
"They said they should start the violence after the burial... So it was intentionally organised to show their anger over their late cleric," Ngao said on Wednesday evening, as volleys of police gunfire crackled from a nearby street.
Radicalism among Kenya's Muslims has been a prime concern of the West since the 1998 bombings of the U.S. embassies in the capitals of Kenya and neighbouring Tanzania, which killed at least 223 people, blamed on local followers of Osama bin Laden.
Concern has grown sharply since last year as Kenya has been drawn into the war against al-Shabaab fighters in Somalia.
A U.N. investigation last year found that the Somali rebels had created extensive funding, recruitment and training networks in Kenya. An unknown number of Kenyan Muslims have crossed the border to fight alongside the Shabaab.
After Kenyan troops crossed the frontier last October to fight the Shabaab, the Somali Islamists vowed to carry out revenge attacks in Kenya. Since then there have been attacks on churches in Kenya as well as soft targets like local bars.
The government has announced an amnesty for Kenyans who fought alongside the Somali rebels. Muema, who runs the youth groups at the coast, said Kenyan Muslim youth have returned from combat in Somalia with radical views and no job prospects.
"We have worked with elders who tell us the youth are coming back and are only waiting to be given instructions and they act. And they are armed," Muema said.
"The targeting of churches tells you that this is not just about the killing of a sheikh but the putting into practice of an ideology that you must be against people you see as non-believers," she said of this week's riots.
Civil unrest on the coast raises memories of tribal violence that killed more than 1,200 people and nearly tore Kenya apart after a dispute over the results of the last presidential election in 2007-08.
"It's like a ticking bomb now: the coast, the MRC and secession, al Shabaab, all these things," said coastal historian Stanbuli Ahmed Nassir.
Sustained unrest along the coast could badly knock Kenya's multi-million dollar tourism industry, only just recovering from the kidnapping of tourists at a coastal resort last year.
"We haven't had major cancellations but it is certainly worrying us big time," said Mohammed Hersi, who runs the Whitesands Hotel, the coast's largest resort. "The growing trend of attacks on the police is something we've not seen before."
Down by the pool, some holidaymakers were oblivious to the mayhem that had happened a short distance along the highway.
"Which city? Here?!" exclaimed one British woman who gave her name as Elisabeth, told of the violence outside as a beach boy and his camel sauntered by. (Writing by Richard Lough; Editing by James Macharia and Peter Graff)

Hapo ndio Unaona Umuhimu wa NYERERE aliona MBALI; alifanya MENGI kuondoa Matabaka na kutaifisha SHULE za DINI ili kusomesha watoto wote...

Na Pia kuhakikisha MIJI yote inakuwa sawa sawa MOSHI na BUKOBA ilizuiwa na Nyerere kukua ili Miji Mingine Ikue...
 
Back
Top Bottom