Ok, nimeona, inakuwaje ing zifuatane?? na wakati baada ya kupokea fedha timu ndio ilianza kuimprove?#16 Angalia masahihisho.
Ok, nimeona, inakuwaje ing zifuatane?? na wakati baada ya kupokea fedha timu ndio ilianza kuimprove?#16 Angalia masahihisho.
Nimesoma kwenye Google ila sijaelewa being inatumika kama gerund, adjective , noun na verb anayejua vizuri hivi anisaidie kwa maana nimetoka mtupu!Be-being-was/were-been.
Just like:
Eat-eating-ate-eaten.
Simple Future: He will be at home shortly.
Simple Past: He was at home.
He has been at home since yesterday.
Being inatumika sanasana kwenye passive voice.
Mfano: Juma is eating the mango.
The mango is being eaten by Juma.
mbali na ni nadra sana au si kawaida kutumia being katika active voice in present progressive tense kama main verb.
mfano:
"I am being a doctor" kama ilivyo kwa kitenzi "go" I am going home.
[emoji777]Our team has been improving after received financial support from Ministry of Education.
Is my sentense correct?
[emoji777][emoji777]Upo sawa maana tendo bado lipo kwenye mwendelezo halijakoma!!. Toka timu ipate msaada wa kifedha bado inaendelea kufanya vizuri, ,,
Sahihisha sentensi hiyo.[emoji777][emoji777]
Our team has been improving after RECEIVING[emoji3581] financial support from Ministry of Education.Sahihisha sentensi hiyo.