Tennis 2011

4290473034-03062011185321.jpg
1441738689-03062011191125.jpg
l5243447.jpg

sasa balaa litakuwa kati ya huyu mbaya federer na nadal
hapo hakuna kuchheka na nyani
 
_53235661_012138542-1.jpg

It's all over in Paris. Federer says: "I had nerves and this wasn't even the final. I have worked a lot in my life and it's for these types of matches. It was certainly one of my greatest matches in an extraordinary atmosphere."
 
p1_federer_nadal_1026.jpg
federer-nadal-french-open.jpg

Kesho sio mbali Clay court maestro atakuwa na kazi ngumu kumshinda Mtu mzima federer!
 
_53240999_012133571-1.jpg


Nani kuibuka kidedea hapa mtanange unaendelea Li Na anaongoza kwenye serve ya kwanza ila ya pili mambo yanataka kubadilika mtaliano ameanza kucharge ili achomoe 6-4,4-4
_53241627_li.jpg
 
Hapa naona hiyu mchina alikuwa kidogo tu achuku na seti ya pili. Sijui ile break point imemchomokaje ?
 
Hapa naona hiyu mchina alikuwa kidogo tu achuku na seti ya pili. Sijui ile break point imemchomokaje ?
Pale she was so fast yaani nilikuwa nimeshangilia tayari mana mchina amenifurahisha leo..forehand ilikuwa nzuri ...baaada ya ushindi wake nikahamia counter kushereheka na ushindi wa jana wa federer bata kwenda mbelee
 
_53244579_012142866-1.jpg

Li settles her nerves despite Schiavone's raised spirit. The pair exchange nervy service games and it goes to a tie-break. The Italian is flusterted after wasting earlier chances and Li races through seven straight points

_53244717_012142889-1.jpg

Schiavone's reign as Queen of Roland Garros is over as Li wraps up the 6-4 7-6 (7-0) triumph in 108 minutes. Li's stats read: 31 winners and 24 unforced errors. Schiavone made 17 errors but only 12 winners. China celebrate
_53244822_012142886-1.jpg

Five months after losing to Kim Clijsters in the Australian Open final, Li wins a first Grand Slam singles trophy and says: "I was 4-2 up and she tried to come back, but I had to stand up. Everyone in China will be so excited."
 
Picha ya kwanza hapo juu nahisi wachunguzi wa mambo hasa wale wa kwenye column ya mahusiano na ..... watakuwa wameona kitu pale k........
 
_53244373_012142922-1.jpg
_53244299_012142747-1.jpg
_53243755_012142532-1.jpg

Li Na powers past Francesca Schiavone in straight sets to secure the French Open crown and China's first Grand Slam singles title

Tukutane baadae kesho kwa updates za mens finals karata yangu bado ipo kule kule tuu mpaka kieleweke
 
Picha ya kwanza hapo juu nahisi wachunguzi wa mambo hasa wale wa kwenye column ya mahusiano na .....
watakuwa wameona kitu pale k........

hahahhah kamanda kitu gani iko??? icho kilichotuna tuna pale kwenye eneo la "reproduction"
 
....come on Rafa!!!!!!!

:bump2:...dahhh!? yaani mpaka huku unataka kuwa mpinzani wangu?
Simba na Yanga nako kukoje? maana mimi Simba damu tangu naingia akili!

Haya bana...1st set Deuces hizoo!
 
Unforced errors zitam-cost Federer...ameshindwa kuchukua seti ile..

Nilishahesabu seti ya kwanza ni yake federer .asipochukua seti ya kwanza nadhani mechi haitanoga. Akizubaa anapigwa straight set kama alivyochapwa yule Murray watu wa UK wanampa sifa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom