Tennis 2011

:bump2:...dahhh!? yaani mpaka huku unataka kuwa mpinzani wangu?
Simba na Yanga nako kukoje? maana mimi Simba damu tangu naingia akili!

Haya bana...1st set Deuces hizoo!

Duuuhh! Mimi mzee wa jangwani tangu natambaa....nakumbuka mzee wangu alikuwa anazima redio Yanga ikishambuliwa, hahahaha!
 
Dalili naona kama mtu wangu anaweza kupigwa straight set leo ila angekuwa djoko wangetoshana na Nadal..Mziki unamzidia Fed
 
Sijui kama Federer atashinda mechi hii. Mara nyingi akishakuwa nyuma anapocheza na Nadal basi huwa ndio mchezo umekwisha. Kafanya uzembe mkubwa baada ya kuongoza 5-2 na kumuachia Nadala kushinda the next 5 points.
 
Dalili naona kama mtu wangu anaweza kupigwa straight set leo ila angekuwa djoko wangetoshana na Nadal..Mziki unamzidia Fed

Mechi imepoteza ladha Federer angechukua mechi ya Kwanza ingependeza sana japo nataka nadal ashinde sio kwa straight set
 
Binafsi nilitaka hivyo la namwona nadal amecharge kweli na kawaida ya federer sio mlalamikaji ila pale kwenye ile serve yake aliyokwenda kuidai kuwa ni ace ndo nikaona shughuli imekwiva kwa mtu mzima...Hii inakila dalili ya kuwa straight game just like going to the park
 
Sijui kama Federer atashinda mechi hii. Mara nyingi akishakuwa nyuma anapocheza na Nadal basi huwa ndio mchezo umekwisha. Kafanya uzembe mkubwa baada ya kuongoza 5-2 na kumuachia Nadala kushinda the next 5 points.

Mkuu zile sio points zile ni game maana Federer alikuwa na 5 Nadal ana 3. So Nadal akashinda kuazia kwenye 3 mpaka 7.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Statistics zinaonesha "Federer has won 3 GS finals after losing 1st set - WIM 2004 vs Roddick, 2009, vs Roddick, AO 2006 vs Baghdatis."
 
Federer anapend ku-take risks sana ...tayari katika meetings zao kama 24, Nadal amemshinda Federer mara 16 zidi ya 8 .
 
Bora hata Djokovic angeingia kwenye final na kutie record iliyoweka katika ushindi wa mechi mfululizo.

Djoko angetoa upinzani zaidi japokuwa sikutaka ashinde ile nusu-fainali na Roger maana leo hii Rafa angekuwa No.2....Nafikiri Roger kuna namna fulani anamwogopa sana Rafa, just like Arsenal defence vs Drogba!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom