Tengeneza bot wako mwenyewe Telegram

Tengeneza bot wako mwenyewe Telegram

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
2,451
Reaction score
2,466
Habari za muda wanajamvi. Jukwaa hili limepoza sana toka Mkali trick,Psite shio watoke humu.
Nataka nianze kulichangamsha upya, leo tujifunze jinsi ya kutengeneza bot bila kuwa na ujuzi wa code.

Bot au robot ni kitu gani Telegram?
Hizi ni bot zinazoweza kufanya kazi bila admin au kiongozi wa kundi kuwepo,na zipo za aina nyingi sana na zinafanya kazi nyingi sana,kwa hiyo unaweza kuendesha chanel au group bila ww kuwepo na mambo yakaenda sawa.

Sasa kama una channel Mfano JamiiForums unaweza kuadd akawa administrator na kupost habari kama kawaida. Mfano kama upo telegram tafuta chaneli hii Habarizote

Sasa je una channel au group? Ni wakati wako sasa kumiliki bot wako mwenyewe, kinachotakiwa ni simu yako,telegram na mb zako tu.

Hii ni sehem ya kwanza na sehem ya pili inakuja pia
Mfano wa bot wangu binafsi ni @habarizote_bot
Karibuni tena,kama kuna swali nitajibu.
 
Ila ni nje ya mada nikitaka tafuta channel au group nikiwa na jina lake nifanye ili nijiunge
 
Yaaan nimeshasahau kama kuna kitu kinaitwa whatsApp maan telegram n raha sana asante sana mtoa thread
 
naandika Google au pale telegram kwenye sehemu ya search
Pale kwenye Telegram pia hata kama ni public channel na groups hata Google zinaonekana,mfano angalia smatskills

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Back
Top Bottom