Tengeneza backups kwenye ndoa

Tengeneza backups kwenye ndoa

high vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,950
Reaction score
2,190
Ndoa za siku hizi zinakuwa na mambo mengi pengine hata wakati mwingine zinaanguka Kabisa Sasa wakati zinapoanguka inaathiri uchumi hasa wa wanaume kupeleka hata kupata magonjwa ya moyo
Sasa unatakiwa kutengeneza back up ya asset Incase hata mkiachana zile asset zinabaki salama mfano unaenda kule ulikozaliwa unanunua shamba ambalo mtu wa karibu kama mama yako ndio anajua tu then mkiachana inakuwa rahisi ww kupata pa kuanzia

Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
 
Hii inafaa kwa wanawake zaidi maana wao ndio wanaoumia zaidi ndoa ikivunjika.

Maana mara nyingi ndio wanaoteseka sana na kukosa muelekeo.

Hii inaweza kuwa msaada kwao.
Nikigundua umenunua shamba lako sio la familia, shamba linauwza hela yote inakuwa ya familia.
 
Hii inafaa kwa wanawake zaidi maana wao ndio wanaoumia zaidi ndoa ikivunjika.

Maana mara nyingi ndio wanaoteseka sana na kukosa muelekeo.

Hii inaweza kuwa msaada kwao.
Inafaa kwa wote kiongozi sababu nmeona watu wanaachana na wanagawana mali na kule kijijini walikotokea hawana chochote wanabaki kupata magonjwa lakini kama una asset ya ardhi inakuwa afadhari pa kuanzia

Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
 
Back up muhimu jaman haya maisha hujui
Yaleo na kesho
 
Ndoa za siku hizi zimekuwa za kuviziana sio tena mpango wa mungu ukikaa vibaya umeliwa kichwa
 

Ayubu 1:21​

akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.
 
Niweke backup Kwa ajili ya nani? SI Bora muachane Kila mtu aendelee na mambo yake?

Yaani tunaishi wote huku nna mambo yangu peke yangu au Mke anamambo yake binafsi?

Na hata hao ndugu wakiona unafanya vitu bila kumshirikisha mkeo wanamdharau na hiyo inaigharim ndoa Yako.

Bora useme muwekeane mikataba kuhusu maamuzi ya Mali tokea awali.

Hata hivyo Kwa tulip wengi Mali zenyewe ziko wapi Hadi uanze kuwaza backup?

Bora hiyo nguvu niwekeze kuiboresha ndoa.
 
Ndoa za siku hizi zinakuwa na mambo mengi pengine hata wakati mwingine zinaanguka Kabisa Sasa wakati zinapoanguka inaathiri uchumi hasa wa wanaume kupeleka hata kupata magonjwa ya moyo
Sasa unatakiwa kutengeneza back up ya asset Incase hata mkiachana zile asset zinabaki salama mfano unaenda kule ulikozaliwa unanunua shamba ambalo mtu wa karibu kama mama yako ndio anajua tu then mkiachana inakuwa rahisi ww kupata pa kuanzia

Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app

Kwaiyo Unatushauri tukiwa ndani Ya ndoa Tuwe Kama tumejiegesha vile.! Mguu mmoja ndani mguu mwingine nje!
Aisee...
Kwa Mawazo yangu Hakuna surprise za Eti Mke Kanunua Sijui Kiwanja Sijui Kajenga Nyumba bila Kufahamu chochote Mwanzo Mwisho....! Hapo Kuna mtu anataka Kudhulumu haki za Familia , Haki za Watoto..
 
Ndoa za siku hizi zinakuwa na mambo mengi pengine hata wakati mwingine zinaanguka Kabisa Sasa wakati zinapoanguka inaathiri uchumi hasa wa wanaume kupeleka hata kupata magonjwa ya moyo
Sasa unatakiwa kutengeneza back up ya asset Incase hata mkiachana zile asset zinabaki salama mfano unaenda kule ulikozaliwa unanunua shamba ambalo mtu wa karibu kama mama yako ndio anajua tu then mkiachana inakuwa rahisi ww kupata pa kuanzia

Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
Sometimes sio nzuri,mali ya watoto wako inaweza kupotea kizembe kwasababu tu hakuna anaejua ilipo. Mfano ikitokea umekufa nani atakaejua kama baba/mama yao alikua na mali kisiri,matokeo yake watoto wanageuka ombaomba wakati wangeweza kuishi vizuri tu. Kumbuka ukifa ndugu zako sio rahisi kuwajali watoto wako ila watajali mali ulizoacha tu.
 
Back
Top Bottom