Supervision
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 265
- 203
Watu wengi waliofanikiwa duniani mara nyingi wamekuwa wakieleza siri za kufanikiwa kuwa ukitaka kufanikiwa penda kuongelea vitu na siyo watu.
Yaani ukiongelea vitu utapata idea ya kufanya jambo zuri kama biashara na miradi mingineyo.
Lakini kuna baadhi ya watu kutwa nzima.huongekea watu atasema marafikj zake,jamaa,ndugu akitoka ndugu atahamia kwa diamond atakwenda kwa alikiba hao wote ni kuwaponda tu yaani mpaka inafika jioni hakuna mawazo productive hapa unakuwa hakuna unachoongeza zaidi ya kujitengenezea stress na kuchukia wengine.
Yaani tatizo ni kwamba watu hawajui mawazo yalivyokuwa na nguvu katika kutengeneza maisha yetu,mawazo haya hutoa maneno mabaya kasababu hata mawazo ni mabaya.Kudiscuss watu kunachangia kufikiri pafupi kama wale wambeya wa mtaani angalia hakuna lolote wanalolifanya.
Kitu kikubwa na cha msingi ni kutumia akili zetu katika kuwaza mawazo chanya na kufocus kuhusu vitu na siyo watu.Mungu alitupa akili ili tuzitumie vizuri hakutulamili tuzichezee na kutuharibu.Kila mwanadamu anamapungufu ukiwafikiria sana hutaona mwema sanasana utaumiza akili yako na tukumbuke kuwa:
"Great people discuss idea,
Middle people discuss events,
Small minds discuss people"