Tendwa awapiga stop BWM na Vicent kumzunguzia mwl Nyerere

Unajua CCM inapaswa iitwe CCMT yaani Chama Cha Mapinduzi cha Tendwa...
Huyu mzee ni mtu mzima ovyo,tangu amekabidhiwa kuratibu Multpatism amekuwa na Mapenzi wa wazi wazi kwa CCM na ndo maana simpendi,kipara kikubwa kama tikiti maji...
 
Kwani Tendwa siku hizi kawa msajili wa "maneno na kauli"????

CCM tangazeni wazi kuwa Tendwa ni mwanachama wenu na anafanya kazi za chama


Kwani hujui kuwa Tendwa ni mwanachama hai wa CCM? Hujui kuwa kadi yake inalipiwa kila mwaka?
Vigogo wengi (almost wote) either kwa uoga au kwa kupenda ni wana CCM.
 
Tendwa akae kimya kabisa. Halafu kauli yake kuwa wakati Baba wa Taifa anakufa Vicent alikuwa mdogo sana ina mantiki gani? Sisi tunajua sasa mtizamo wa familia ya Nyerere kumhusu BWM. Na anatakiwa atoke hadharani ajisafishe, vinginevyo chuki zetu dhidi yake zitazidi mara dufu.

Umri wa Mhe. V. Nyerere sio issue. Kumradhi, natumia Mfano wa kidini: wote hapa tulikuwa hatujazaliwa kipindi Bw Yesu alivyokuwa duniani. Lakini wote tunajua alisalitiwa na Yuda kwa vipande thelathini za pesa aKasulubiwa..
 
Tendwa ana wazimu? Katoa wapi mamlaka ya kusimamia familia za watu? Vicent Nyerere anaongea kuhusu mtu anayeingilia familia yake, yeye Tendwa kinamhusu nini? Ni huyu huyu Tendwa aliyejigeuza kuwa msemaji wa wala njama za mauaji! Leo amekuwa msimamizi wa mazunguzo kwenye familia za watu! Mambo ya hovyo sana haya.
 
NITOKE VIPI,HII NDO STAILI, NIKITOKA KWA STAILI YA WAZEE WA KISHILI AU KUTOZUNGUMZIA JKN LIPI NI TABOA.
Alikuwa hana njia nyingine ya kuongelea uchaguzi wa AR E kapata chance kaitumia awe kwenye FRONT PAGE.
 
huyu mkapa naye sijui alianzia wapi kuhoji undugu wa vincent kwa mwalimu.
 
huyu mkapa naye sijui alianzia wapi kuhoji undugu wa vincent kwa mwalimu.


Alikosa hoja hivyo kujaribu kutumia njia nyepesi katika maswala ya msingi!! lengo lilikuwa kumdharirisha Vicent Nyerere!!!
 
Huyu baba ni janga la kitaifa. Anamamlaka gani ya kutukataza kuongelea kifo cha baba yetu?
 
Kwa kauli hiyo Tendwa amezidi kuthibitisha ukweli wa alichosema Vincent Nyerere kuhusu kifo cha mzee wao.
 
Huyu tenwa kweli ni mwana ccm mzuri, wala hufichi unazi wako!. Kama mkapa amemuua nyerere tusizungumze! Kwani ni uwongo.
 
Back
Top Bottom