Tendo la ndoa mara ngapi ki-afya?

Tendo la ndoa mara ngapi ki-afya?

diunal

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2013
Posts
498
Reaction score
70
Wana JF, naomba kufahamu katika suala zima la TENDO LA ndoa kwa wanandoa, kitaalam bila kuathiri afya za wanandoa, doze iwe vipi?
 
mara moja kwa mwezi, mara kumi na mbili kwa mwaka, hizo master bedroom zinawaua waafrika, kila mtu alale chumba chake
 
Jibu sahihi angalia wanyama wanavyofanya, binadamu uroho mtupu ndo maana rate ya kuzeeka nikubwa sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mara 4 kwa siku demu akiwa mpya na mara 3 akiwa wa zamani so ni 4x7days =28 per week ambayo ni 28x4weeks=112 per month then 112x12 month unapaa 1344 kwa mwaka....hii ni kwa zile mechi zenye ratiba lakini kuna za ghafla labda umemletea chupi mpya kafurahi anakupa kimoja etc..
 
Upya wa mkw unadumu kwa muda gani? Maana KAMA kweli demu ulichagua vilivyo Kila cku ndo unazidi mpenda!
 
Kufanya kwa kuzaliana ndio nzuri kwa afya! Kwa starehe at least mara mbili kwa week! Ukishindwa mara mbili kwa week basi tafuta mpenzi mmoja tu mwaminifu ili afya yako isije kuyumba!
 
Back
Top Bottom