Tendo la ndoa mara ngapi ki-afya?

Tendo la ndoa mara ngapi ki-afya?

Upya wa mkw unadumu kwa muda gani? Maana KAMA kweli demu ulichagua vilivyo Kila cku ndo unazidi mpenda!

upya unadumu for 3 months baada ya hapo kuta zinakuwa zimelegea na kitu kinakuwa used sana
 
Wanasemaga "kunywa beer 2 kwa siku ki-afya" basi jibu ndo hiyo, fanya mara 2 kwa siku au mara 7 kwa week
 
mara 4 kwa siku demu akiwa mpya na mara 3 akiwa wa zamani so ni 4x7days =28 per week ambayo ni 28x4weeks=112 per month then 112x12 month unapaa 1344 kwa mwaka....hii ni kwa zile mechi zenye ratiba lakini kuna za ghafla labda umemletea chupi mpya kafurahi anakupa kimoja etc..

ha ha ah aha aha h. sirious you made ma day brother..fantastic:rapture:🙂🙂🙂🙂:rapture::rapture:
 
Sasa tumwamini nani?JF kama mnadaktari amjibu muuliza swali,na wengine tujue,acha hizo answers za kihuni.
 
hy nimeipenda mkuu ila kwa ndoa zetu za kibongo is it realistically????pls share something...
 
KIGOGO uko juu ila ni aplicable within 3 yrs from the date of marriage.
 
unafanya kila ukitaka mtoto, mimba ikishika basi.
kama ushazaa hamna haja

Dah huu ushauri mkuu ni hatari kwa ndoa ya huyo muuliza swali.......ha ha ha ha ila umefanya siku yangu inaisha vizuri.
 
at lest 3tm per week ..... kumbuka kwa siku hiyo moja unaweza piga hata bao 5 au 6 ....
 
It is only allowed to have sex when the two of you are not yet married...after marriage, if she takes your name, you are forbidden to have sex...she is your relative! and we are not allowed to have sex with our relatives, right!??

If she does not take your name after marriage, you are only allowed to have sex any tym during honey monn and there after ONLY when you want to conceive...she is your wife, not sex toy, right!

All the best.
 
Back
Top Bottom