Mtoto wa Jadu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 470
- 1,138
- Thread starter
-
- #61
Wewe ulishawahi kufanya hadharani kwa kuwa hakuna aliyekukataza!?We fanya tu kwani kuna alokukataza?
Nashukuru mkuu Colin-morgan, kwa kujibu tena jibu lililo zuri na linaloridhisha!!Sawa mkuu majibu mengi umeshapewa hapo juu , jibu lake linahitaj tu common sense , si unajua kuonekana viungo vya ndani ni fedheha flan hivi wewe unaviona vzur kwani ni vyakwako kuna mwengine akikiona cha kwako ataanza kukucheka na kuona km hakipo ktk ukamilifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo nilitamani kukuelewesha nikiamini unataka kueleweshwa. Lakini nimegundua hauhitaji kueleweshwa, unahitaji kitu kingine tofauti kabisa.Wewe ulishawahi kufanya hadharani kwa kuwa hakuna aliyekukataza!?
Au Je, wewe espy unaweza hadharani kwa kuwa haujakatazwa!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumejaaaliwa akili , na kutofautishwa na wanyama na kupitia hizo hizo akili tukaweza kujistiri miili yetuNashukuru mkuu Colin-morgan, kwa kujibu tena jibu lililo zuri na linaloridhisha!!
Sasa bado nitabaki ninajiuliza kuwa kwanini hivi viungo vya uzazi ama via vya uzazi ni fedheha kuvionyesha hadharani!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kana, kama unalifahamu jibu sahihi tafadhali naomba unijibu nipate kuelewa!!Mwanzo nilitamani kukuelewesha nikiamini unataka kueleweshwa. Lakini nimegundua hauhitaji kueleweshwa, unahitaji kitu kingine tofauti kabisa.
Hebu nikuulize, wewe unaweza kufanya hicho kitendo hadharani? Itakua vyema kama utaweka na sababu kwa jibu utakalolitoa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi fanya hilo tendo kwahiyo sijui.Wewe ulishawahi kufanya hadharani kwa kuwa hakuna aliyekukataza!?
Au Je, wewe espy unaweza hadharani kwa kuwa haujakatazwa!?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwanzo nilitamani kukuelewesha nikiamini unataka kueleweshwa. Lakini nimegundua hauhitaji kueleweshwa, unahitaji kitu kingine tofauti kabisa.
Hebu nikuulize, wewe unaweza kufanya hicho kitendo hadharani? Itakua vyema kama utaweka na sababu kwa jibu utakalolitoa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndicho nilichokigundua![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ana majibu yake anayoyataka. Ukimjibu anakuja na swali lingine. Woooiiii!!
Mazoea hujenga tabia, tabia ndio msingi wa utamaduni. Utamaduni ni uwanja mpana wenye mila na desturi ndani yake!Mkuu Kana, kama unalifahamu jibu sahihi tafadhali naomba unijibu nipate kuelewa!!
Binafsi siwezi kufanyia hadharani kwa sababu ndivyo nilivyozoea!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine wanafumbaga na macho kabisa!Wanabodi,
Binafsi huwa sielewi kwanini ni busara kufanya tendo hilo sehemu ambapo hamtaonekana na mwingine yaani sirini!?
Je kuna ubaya gani kulifanya tendo hilo hadharani au sehemu ambapo kuna watu!?
Ni siri ipi hiyo ifichwayo!?
Karibuni!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna jamii ambayo tendo la ndoa linafanyika hadharani mkuu.Unamaanisha kuwa kuna maeneo hapa duniani ni rasmi kufanya tendo hilo hadharani!?
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaajahahahhajajaHuku kwetu mbona tunafanya hadharani, inawezekana kujificha ni utaratibu wa huko kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app