tenda ya ununuzi wa mitambo ya kuzalisha umeme kurudiwa upya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tenda ya ununuzi wa mitambo ya kuzalisha umeme kurudiwa upya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkora, Dec 22, 2009.

 1. M

  Mkora JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 360
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Waziri wa Nishati na Madini William Ngelleja akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uamuzi wa serikali wa kuona busara ya kurudiwa kwa zabuni ya ununuzi wa mitambo miwili ya uzalishaji umeme na kuwataka wazabuni wote waliofuzu kwenye mchujo na kuthibitika kuwa wana uwezo wawasilishe takwimu za kuwezesha kufanyika kwa tathimini ya gharama za ununuzi wa mitambo, ujenzi na uendeshaji.

  Zabuni hiyo inahusu Mitambo miwili yenye uwezo wa kuzalisha Megawat 100 katika mkoa wa Dar es Salaam na Megawat 60 katika mkoa wa Mwanza.Kulia ni naibu waziri wa wizara hiyo Adam Malima

  Je wadau mnaweza kutujulisha yaliyowasibu hao waliopata hiyo tenda mara ya kwanza
   
 2. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka ilishaletwa hapa JF na mdau mmoja (simkumbuki) thread yake ilikuwa na kichwa cha habari Richmond nyingine yafukuta Tanesco kama mwezi hivi umepita. Nadhani kwa hili JF kama jukwaa la wakereketwa Pongezi zinastahili.
   
Loading...