Tenda ya kufundisha elimu ya kujitegemea

KICHWA BOGA

Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
51
Reaction score
15
Kwa Vikundi, Taasisi Mbalimbali Shule, Kanisa, NGO, Kampuni Na Wote Wenye Kuhitaji. Natoa Mafunzo Ya Ujuzi Na Ujasiriamali. Baadhi Ya Key Issues:
>Kilimo Hai Kupitia Mradi Wa Slow Food International
>ufugaji
>Elimu Ya Uanzishwaji Wa Viwanda Vidogo Vidogo
>ujuz Wa Batik Za Wanyama Na Tie Dye
>mapishi. Nk...

Tanzania Si Masikini, Ni Kujikubali Tu Kwa Watanzania, Na Wameamua Kuishi Hivyo. AMKA! Piga simu
0752 698 691 uisaidie jamii yako kwa elimu!

KARIBUNI
 
Unatolea wapi hayo mafunzo?

Tanzania Si Masikini, Ni Kujikubaji Tu Kwa Watanzania, Na Wameamua Kuishi Hivyo. AMKA! Piga simu

Popote Tz Na Afrika Mashariki, Unaorganise Kikundi Cha Watu Au Kama Wewe Ni Kiongoz Wa Kundi Fulani Na Mnahitaji Mafunzo, Tunawasiliana, Then Tunakuja Coz Tupo Kikundi Cha Wahitimu Toka Vyuo Mbalimbali SUA, UDSM, UDOM, LITI na wengne. Kwa mtu mmoja, karibu chuoni kwetu Morogoro Institute Of Creative Technologies And Entrepreneurial Studies (MICTES) KIHONDA.
 
Nataka nami niwe nafundisha jamii mambo ya biashara na ujasiliamali. Je, naweza pata nafasi hapo kwenu tuwe tunashirikiana? My profession is bachelor of Business Administration and Graphics Design.
 
Inawezekana Ndg, Unapatikana Wapi? Sisi Tupo Morogoro.
 
Kwa Vikundi, Taasisi Mbalimbali Shule, Kanisa, NGO, Kampuni Na Wote Wenye Kuhitaji. Natoa Mafunzo Ya Ujuzi Na Ujasiriamali. Baadhi Ya Key Issues:
>Kilimo Hai Kupitia Mradi Wa Slow Food International
>ufugaji
>Elimu Ya Uanzishwaji Wa Viwanda Vidogo Vidogo
>ujuz Wa Batik Za Wanyama Na Tie Dye
>mapishi. Nk...

Tanzania Si Masikini, Ni Kujikubaji Tu Kwa Watanzania, Na Wameamua Kuishi Hivyo. AMKA! Piga simu
0752 698 691 uisaidie jamii yako kwa elimu!

KARIBUNI

Mimi nina kampuni yangu ambayo ina husu mambo ya IT, ndo kwanza tunaanza. Tunahitaji soko la program zetu tulizo design. Je, tunaweza kupata ushauri au tunaweza kufanya kazi pamoja kutafuta masoko?
 
Ndiyo Inawezekana... Hongera Sana Kwa Hatua Nzuri Uliyofikia, Mnapatikana Wapi? Karibu Chuoni Kwetu Morogoro Tuzungumze.
 
Tenda hizo zinaendaje?

Ahsante mkuu, kutokana na kuilalamikia serikali juu ya mfumo wa elimu yetu kuwa unamuandaa mtu/mwanafunzi kuajiriwa na kushtukia baada ya kuhitimu masomo yao wanamaliza miaka kadhaa bila ajira kama walivyotegemea na wengine kukumbana na majibu yanayokatisha tamaa kutoka kwa waajiri bila kupatiwa ajira. Na vijana wengine kdhani kuwa wanapofeli mitihani yao wanakuwa wamefikia mwisho wa maisha yao na kuamua kujiua.... na wengine ni graduates wanafikia uamuzi wa kujiua kutokana na kukaa muda mrefu bila kupata ajira.....Tunaungana na mashirika, Taasisi zisizo na zilizo za kiserikali kama zilivyotajwa hapo juu kwenye post kuu.... Hii inasaidia kuvumbua thamani binadamu tuliyonayo ambayo sometimes inakuwa imeathiriwa na mazingira....Tunazungumza na kufikia makubaliano nini wanataka kufundishwa, ujuzi gani wanataka wapate na wanafundishwa kwa nadharia na vitendo kama ni kilimo na ufugaji tunatembelea mashamba darasa yetu na kujifunza zaidi na kuhakikisha baada ya mradi kukamilika tunaacha mradi umesimama na tunaendelea kuwa nao kwa mwongozo zaidi.

Sijui nimejibu kama ulivyouliza, nasubiri mrejesho kama swali limejibiwa au la!
 
Nmekuelewa na ni idea nzuri sana.Kwa hiyo unatafuta watu wenye ujuzi wa kazi za mikono ili kwenda kutoa ujuzi?
 
Kwa Vikundi, Taasisi Mbalimbali Shule, Kanisa, NGO, Kampuni Na Wote Wenye Kuhitaji. Natoa Mafunzo Ya Ujuzi Na Ujasiriamali. Baadhi Ya Key Issues:
>Kilimo Hai Kupitia Mradi Wa Slow Food International
>ufugaji
>Elimu Ya Uanzishwaji Wa Viwanda Vidogo Vidogo
>ujuz Wa Batik Za Wanyama Na Tie Dye
>mapishi. Nk...

Tanzania Si Masikini, Ni Kujikubali Tu Kwa Watanzania, Na Wameamua Kuishi Hivyo. AMKA! Piga simu
0752 698 691 uisaidie jamii yako kwa elimu!

KARIBUNI

Tunawashukuru kwa ushirikiano wenu. Project mliotuwezesha inaendelea vizuri.
 
Back
Top Bottom