Huu Msemo Nimeamin Sasa!! Japo Nilikua Nauamin, Lakin Sasa Nimezidi Kuuamini. Nimetoka Dar Nimekuja Mkoan Kikaz, Nyumba Nayoishi Pemben Kuna Jirani Nilietokea Kupatana Nae, Na Mimi Kuja Mtaa Huu, Imekua Kma Neema Kwake.
Kiukwel Jamaa Hayupo Vizuri Kimaisha Hata Ukimuangalia Tuu Utajua Hilo, Anyway Mimi Kma Kawaida Uwa Siangalii Sanaa Mambo Kma Hayo Uwa Naangalia Urafik Mwema, Jamaa Amekua Rafik Yangu Wa Karibu Na Mwenyej Wangu Pia Na Nimekua Namsaidia Sanaa, Hana Chakula, Namnunulia Chakula Mpka Vocha Namtumia!
Nikiwa Home Anakuja Tunachil Na Mara Nyingi Unieleza Matatizo Yake Namsaidia Na Nimegundua Mimi Ndie Naemsaidia Sanaa Kuliko Hata Rafik Zake Niliomkuta Nao.
Hapa Hapa Mtaan Kuna Binti Flani, Huyu Binti Toka Mwnazo Amekua Akionyesha Dalili Za Kunipenda. Sasa Leo Nmekutana Nae Mahali Huyu Binti Akaanza Kulalamika, " Ohoo Erick Kumbe Ww Malaya Una Tabia Mbaya Mhuni"....Maneno Kibao!! Nikashangaa, Nikamuuliza Una Uhakika?? Akaniambia Ndio!! Nikamuuliza Ushahidi??
Binti Akatoa Simu Kucheki, Msg Za Mshkaji Huyu Jiran Na Mwenyej Wangu, Msg Zinaniponda Vibayaaa Sanaaaa!! Maneno Mengiii Sanaa Ya Uongo Juu Yangu, Nilipomaliza Kuzisoma, Nikamwambia Binti, Kma Huu Ndio Ushahidi Na Umemuamini Jamaa, Sawa Mungu Anajua!! Kisha Nikaondoka Zangu. Nimefika Home, Nimemkuta Jamaa Ananisubil Kwa Nje, Baada Ya Salam, Tukaingia Ndan, Sikumuonyesha Dalil Yyte Mbaya, Tukiwa Sebulen Jamaa Akaniomba Nimtumie Credit, Nikamtumia.
Tumekaa Sebulen Mpka Saa Tano Akaondoka. Ila Kabla Ajaondoka Binti Alipiga Sanaa Simu Sikupokea!! Sijui Huyu Jamaa Nimemkosea Nini Mpka Anifanyie Hivi?? Au Wema Wangu Kwake?? Yaan Pamoja Na Kujifanya Rafik, Upande Wa Pili Ananipondea Vibayaa!!!! Ama Kweli Tenda Wema Uende Zako!!